Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Leo yanga imecheza vizuri saanaAzam kiungo hakuna... Wamezidiwa mno..
Yacouba wanamwacha sana, anafanya atakavyo...
Kibwana kumbe yupo vizuri....
Kiungo cha Uto kimetulia...
Leo Uto wanapiga pira biriani....