Leo yanga imecheza vizuri saanaAzam kiungo hakuna... Wamezidiwa mno..
Yacouba wanamwacha sana, anafanya atakavyo...
Kibwana kumbe yupo vizuri....
Kiungo cha Uto kimetulia...
Leo Uto wanapiga pira biriani....
Duh,hata lilo moko alilowakojoza alibahatisha?Mayele ni mbahatishaji tu
Sana... Japo Uto wamewazidi Azam, ila Azam lazima wajitafakari wanacheza kama timu ya daraja la pili....Leo yanga imecheza vizuri saana
Sijajua wana nini, maana timu siioni kwenye formSana... Japo Uto wamewazidi Azam, ila Azam lazima wajitafakari wanacheza kama timu ya daraja la pili....