Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Dhithi idhi thimba bhana! In Manara's voice 🥵Never underestimate Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhithi idhi thimba bhana! In Manara's voice 🥵Never underestimate Simba
Yanga huwa hoi halafu cha ajabu hakuna aliweza kupata goli Yanga ikiwa hoi.Dk ya 70 sasa, Azam wakaze maana hizi dk Yanga huwa hoi
Mnajidanganya vibaya sana, Yanga haikati pumzi bali ni mbinu tu za kimpira. Ingekuwa inakata moto mpaka sasa wasingekuwa na ckeen sheet nne.Yanga wameanza kukata punzi
Ebu tulieni kwanzaUbingwa hamchukui ng'ooooooooooooo
Tunakuchukuwa weweUbingwa hamchukui ng'ooooooooooooo
Acha ramli chonganishiHi mechi ni draw ya 0-0 au 1-1
Aisee,umeumiaaa! Ila pole bana.Mpira ulishatoka wachezaji wa Azam walikuwa wamesimana.
Refa wa mchongo huyu
Mmepigwa na kitu kizito kichwani 😂😂😂😂Ubingwa hamchukui ng'ooooooooooooo