Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pigia mstariNawataka Hapa Wanaosema Yanga Atafungwa
Huu ni mtoanoKufungwa au droo ni matokeo ambayo Yanga anayahitaji sana usiku wa leo.
Haina draw hiiHuu ni mtoano
Tulia wewe.Naona Line 1 ameshaanza maruwe ruwe! Mchezaji hakuwa kwenye offside position, kafunga goli! Anashangilia! Yeye ananyoosha kibendera!
Tangu abahatishe kale ka kafulo kamoja basi akaitwa professional wa faulo, vima tu yule.Ntibazokiza faulo nyingine aanze waachia vijana wengine
Mwiko nyuma, mbele mwiko 😄😄😛daima mbele, mwiko nyuma kwa yanga
Tulia wewe.
Hawa nao wanapenda kuotea[emoji28]Kipa wa Biashara Anafanya makosa hapa lakini ni offside
Hakuna offside mawenge ya waamuzi wetuHawa nao wanapenda kuotea[emoji28]