mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Wanangu kutoka mara tujuane. Biashara anashinda hii game goli 3-1. Niko tayari kuitwa kolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Line 1 ameshaanza maruwe ruwe! Mchezaji hakuwa kwenye offside position, kafunga goli! Anashangilia! Yeye ananyoosha kibendera!
Naomba ujiite mwenyewe maana mpaka sasa mabingwa mara 27 tuna 2-0Wanangu kutoka mara tujuane. Biashara anashinda hii game goli 3-1. Niko tayari kuitwa kolo
Wanangu kutoka mara tujuane. Biashara anashinda hii game goli 3-1. Niko tayari kuitwa kolo
Mbona kawaida hata Liverpool pale Trent ana muda mwingi hajafunga lakini bado ndio mpigaji tegemeo.Tangu abahatishe kale ka kafulo kamoja basi akaitwa professional wa faulo, vima tu yule.
AkomeMoloko anafanyiwa madhambi Dk ya 14
We jamaa nimecheka sanaAkome
Acheni kulialia, hatutoe penati za kiwaki wakiRefa kabeti hahahaha unaachaje faulo kama hii
[emoji28][emoji28][emoji28]kamati ya roho mbayaAkome
Mda bado, Biashara hii mechi Tunashinda 3-2. Nipo tayri kuitwa koloNaomba ujiite mwenyewe maana mpaka sasa mabingwa mara 27 tuna 2-0
Akome