Timu yoyote ikicheza na Yanga lazima ifanye makosa sanaBiashara wanafanya makosa mengi sana ya ovyo.pamoja nakwamba wamezidiwa mchezo ila kuzidiwa kwao kunachagizwa zaidi na makosa yao yakizembe.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Acha kulinganisha wakimataifa na wamchanganiYanga Wana jua mno, yaani wanajua na wanajua na wanajua tena
Sio mpira wa nyau na magoli ya maruhani Hadi wao wanakili mpira wao hauvutiii
Wakimataifa wapi? Hao Hawa wanao tolewa jasho na prison ama hawa wanaoongoza kwa penati, timu pinzani kupewa red na wanaongoza kwa dakika za nyongeza.Acha kulinganisha wakimataifa na wamchangani
Za kufungwaBiashara ndio tumeanza mchezo... bado tuna goli zetu mbili.
Kwani utopolo haifanyi makosa? Soma ubao.Timu yoyote ikicheza na yanga lazima ifanye makosa sana
Pa nyau kushangilia draw Hadi leo sio mchezo
Yanga anafanya makosa ila nyingine zinafanya makosa zaidiKwani utopolo haifanyi makosa? Soma ubao.
😁😆😅Kila la kheri Biashara United
FT: YANGA 0-1 BIASHARA UNITED
Ndio sisi wenyewe, hatujali chochote, kwetu point 3 ni muhimu ikibidi hata kuua mtuWakimataifa wap? Hao Hawa wanao tolewa jasho na prison ama Hawa wanao ongoza kwA penati, timu pinzani kupewa red na wanaongoza kwA dk za nyongeza
Utajali nini ikiwa mpira mzuri huwezi imebaki ngekewa na mberekoNdio sisi wenyewe, hatujali chochote, kwetu point 3 ni muhimu ikibidi hata kuua mtu
Wameongeza 2
Kwa kweli sijui wanakaaje.Huo mwiko hauwachoshi tu?
Yanga 5 -1 BiasharaMda bado, Biashara hii mechi Tunashinda 3-2. Nipo tayri kuitwa kolo
Kama hamfanyi makosa zaidi mbona kimataifa mmetolewa?Yanga anafanya makosa ila nyingine zinafanya makosa zaidi