Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Statistics za kipindi cha pili natarajia kuona umiliki wa mpira kwa yanga uwe ni zaidi ya 80%
 
BUM wanapa freekick na pengine ndio mpira wa mwisho kuelekea mapumziko
 
Yaani Hizi timu ndogo ukiziona Daraja La kwanza unaweza kusema timu kumbe.

Wanamakosa madogo madogo mengi
 
Reactions: Lee
Mkuu embu zungumzia basi Yanga walivyoupiga mpira drafti drafti
mpira yanga wameucheza sana ila swala la wamaliziaji kule mbele bado ni tatizo

Feisal kakosa nafasi ya wazi kabisa, mayele ndo usiseme yani wangekua fit pale mbele saizi yanga ingeenda mapumziko ikiwa na magoli hata 3

Kingine mayele ameonekana mbinafsi sana kabla ya kufunga bao la kusawazisha, yani ni kama alikua nataka afunge kwanza ndio aangalie na wengine kama anaweza kuwapa pass za kufunga

Na ndio maana baada ya kufunga amekuwa akitoa pass hata sehemu ambayo angeweza kunipinda akagunga
 
Napenda namna BUM wanavyocheza game ya leo

Objectives football na itawalipa vizuri sana
 
kwani haujui!! mkwanja wa gsm uko kazini!
Mpira hujui kachambue mchicha, mechi ya biashara na simba, Biashara hakucheza mpira wowote zaidi ya faulo na kupaki basi ili wacheze counter attack. Mechi ya leo hivyo hivyo Biashara wamekuja na mpira wa kasi na counter attack huku wakipaki basi. Ingekuwa Gsm wamewapa maagizo wasingefunga na pia Yanga wasingepata goli kiugumu vile. Mabeki na makipa wa Biashara wamecheza vyema sana mpaka sasa bado ni mechi ngumu sana kwa Yanga hasa Biashara wakipata mipira ni hatari zaidi maana wanaenda kwa kasi ya ajabu
 
Ila msimu ujao azam waongeze camera
Azam gani hawa hawa? labda gharama ya kifurushi

Hiki king'amuzi kingekuwa cha MO tungewaona critics wengi wakisema jamaa bahili na maneno mengine ya kashfa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…