Mm nilitamani kabla ya kutoa mkwanja tff angeboresha kwanza live kwa kuongeza camera na ubora ,kuna matokeo mengi ya mechi yanakuja kuonekana baadae mechi ishaishaAzam gani hawa hawa? labda gharama ya kifurushi
Hiki king'amuzi kingekuwa cha MO tungewaona critics wengi wakisema jamaa bahili na maneno mengine ya kashfa
Nitajie mchezaji wa Simba alie funga kwa free kick hata goal moja msimu huuHivi ni nani aliwadanganya Utopolo kuwa huyu Babu Ntibazonkiza ni fundi wa Mipira iliyokufa? Kashatengewa mara ya 12 hii lakini hakuna kitu..!
Mkuu sio kwamba Azam Bakhresa hataki kuwa na camera nyingi uwanjani Ila Camera za live broadcasting zina gharama kubwa sana na ndio maana huwa anaziongeza taratibu kwa kadri ya uwezo wakeAzam gani hawa hawa? labda gharama ya kifurushi
Hiki king'amuzi kingekuwa cha MO tungewaona critics wengi wakisema jamaa bahili na maneno mengine ya kashfa
Kabla ya kuongeza mkwanja tff wangeliboreshaa kwanza , wamewahi kuwajifunga miaka kibao ...Mkuu sio kwamba Azam Bakhresa hataki kuwa na camera nyingi uwanjani Ila Camera za live broadcasting zina gharama kubwa sana na ndio maana huwa anaziongeza taratibu kwa kadri ya uwezo wake
Sanaaa, kumsifia yanga ni ngumu maana kila siku yuko bora sanaKwahiyo mmegoma kuisifia Yanga leo 😀😀😀. Hawa BUM wanapambana leo lakini Yanga wanaupiga mwingi saaaana.
Yanga wanacheza kiukweliKwahiyo mmegoma kuisifia Yanga leo 😀😀😀. Hawa BUM wanapambana leo lakini Yanga wanaupiga mwingi saaaana.
Dstv ni mother of live broadcasting in Africa ila Azam ndio anakuja nyuma tena kwa kasi sanaKabla ya kuongeza mkwanja tff wangeliboreshaa kwanza , wamewahi kuwajifunga miaka kibao ...
Ukipata mda angalia ligi ya nchi ya Ethiopia dstv ...mpka wivu mkuu
Isiite lihalotelHahahaha nili halotel kubabake lina speed ya kobe
2nd Half about to start....
Yes kasi yake ni nzuri, miaka miwili mbele naiona live za kibabe...soon wana azam sport 3Dstv ni mother of live broadcasting in Africa ila Azam ndio anakuja nyuma tena kwa kasi sana
Tuombe uzima tu mkuu, tutashuhudia makubwa sana huko mbeleni yakifanywa na Azam TV
Hujui chochote kuhusu mpira, kila timu Ina watu wake wa kupiga faulo, kona, penati nando maana huoni mtu akigombea kupiga faulo hata kama faza kakosaWapewe kupiga Wengine....Haiwezekani utengewe mara 30 halafu Zote hakuna kitu.. kisa uliwahi kufunga huko nyuma.
Huyu muda wa kutundika daluga umefika..!
Kwa iyo hutaki tumjadili huyu Babu wenu...!Nitajie mchezaji wa Simba alie funga kwa free kick hata goal moja msimu huu
Sanaaa, kumsifia yanga ni ngumu maana kila siku yuko bora sana
Kama tu makolo walishindwa biashara anaweza wap?Mamaaae zao biashara walitakiwa wawakazie hawa utopolo
Ushawahi sikia msemo 'kuokota embe chini ya mnazi' alafu aliye okota embe anataka asifiwe kwA juhudi za kuokotaWalio bora wako kwenye mashindano makubwa kama CL or CC ya CAF.Kama team haipo kwa hayo mashindano inakuwaje bora?