Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Hahahha hawa biashara sio wakuwa underestimate hata kidogo
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Auchooooo, mpira umegonga mwamba ilikua hatari
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Yanga inapata freekick nyingine hapa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hivi ni nani aliwadanganya Utopolo kuwa huyu Babu Ntibazonkiza ni fundi wa Mipira iliyokufa? Kashatengewa mara ya 12 hii lakini hakuna kitu..!
 
Mbona mnatuchanganya wadau,ngapi ngapi hadi sasa?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom