Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Prison si alitangulia ila dk 90 nani mshindiMwaka jana walikata pumzi raundi ya pili ila mwaka huu naona kila dalili ya kukata pumzi raundi ya kwanza,, na leo litafukuzwa jitu utopoloni nyie ngojeni tu,,,
Ila msimu ujao azam waongeze cameraOffside, mchezaji wa biashara alipokea pasi ndefu hapa alikua yuko katika position nzuri ya kufunga ila imekuwa ni offside
Mbona Mimi bado nipo?Ito wameshaukimbia Uzi wao Tyr.Au wanachati pm?
Yule dogo hajaanza denis?Hahahha hawa biashara sio wakuwa underestimate hata kidogo
Bonge la misAuchooooo, mpira umegonga mwamba ilikua hatari
Goli...Yanga inapata freekick nyingine hapa
sijacheki hata kikosiYule dogo hajaanza denis?
Wafuate wenzio pm huko wanachati huku wamekimbia woteMbona Mimi bado nipo?