Yanga acheni kuiga ujinga wa Simba kusifia usajili Mpya

Yanga acheni kuiga ujinga wa Simba kusifia usajili Mpya

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo kila wanaposajili humkweza mchezaji na kumsifia kuwa ni mashine hasa lakini wanapoanza kucheza kinachoonekana hakina tofauti na mchezaji wa umoseta. Sitasahau majigambo ya ukuta wa yeriko pamoja na kina Onana, Mboma, Sawadogo nk.

Sasa haka katabia naona kamehamia kwa Yanga msimu huu kwa kufanya promo na vitisho wanavyosajili wapya.

Ndio maana ninasema Yanga wasiige hizi siasa za kijinga zilizo zoeleka huku Simba
 
Sijui wewe unaishi taifa Gani hadi hujui kuwa yanga wenye akili ni wawili tu na bahati mbaya haohao wawili wameshazeeka nao tayari akili imeanza kupungua.....
 
Hivi Sheria za Tanzania zinaruhusu wachezaji wangapi kutoka. Nje kwa timu Moja?
 
Sijui wewe unaishi taifa Gani hadi hujui kuwa yanga wenye akili ni wawili tu na bahati mbaya haohao wawili wameshazeeka nao tayari akili imeanza kupungua.....
So ukiambiwa leta wenye akili unaleta huyu?
 

Attachments

  • 1752907204568.jpg
    1752907204568.jpg
    254.8 KB · Views: 36
Wanapromote digital platform ili ianze kuwaingizia kipato
Upo sahihi, mwanzoni walinikera sana walivyokuwa mara kwa mara wanam-post Musa Abdallah lakini walivyokuja kutoa stats zao ndipo ikabidi tu nisonye kwa sauti kubwa huku nikiwaelewa.
 
Back
Top Bottom