Yanga Africa Yanga umoja wa mataifa, Africa inawategemea na taifa linawategemea

Yanga Africa Yanga umoja wa mataifa, Africa inawategemea na taifa linawategemea

Mawe matatu

Member
Joined
Nov 30, 2025
Posts
7
Reaction score
10
Mwenye macho aambiwi tizama, na mwenye masikio anasikia, hivyo ndivyo unavyoweza kusema juu ya mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania Yanga!

Siku zote form uwa inakuja na kupotea lakini class uwa aipotei Abadan,,

Yanga kaonyesha kwa vitendo baada ya kupitia changamoto kidogo na sasa wanarudi mdogo mdogo kwenye ubora wao wakiendelea kuwaziba midomo waliokuwa wanawabeza!

Kongole kwa viongozi, wanachama na mashabiki wote nchini kwa mshikamano kipindi chote Cha ujenzi wa yanga imara!
 
Back
Top Bottom