Yanga Afrika inabebwa

Yanga Afrika inabebwa

Katika kuangalia kwangu mechi mbili za Yanga kwenye michuano ya mapinduzi cup naona dhahiri shairi kuna upendeleo kwenye timu ya yanga.Hili ni tatizo na nasema kabisa haitaweza kufanya vizuri kwenye mashindano ya Africa
aaaah aaah mkuu we utakuwa shabiki wa msimbazi si bure yanga wako vizuri saana wanaobebwa azam
 
Mwache ajiliwaze na vijimaneno vyake, kesho tunaelekeza mshale kwa Mtibwa Sugar, baada ya hapo atakayejipendekeza kuingia na sisi nusu fainali tutamchapa kwa sime na yule atakayejifanya finalist ni lazima tumtoboe tumbo kwa mkuki.

Ole wa Mtibwa na ole wenu msiojulikana kwa sasa.
 
umeona mkuu tuko vizuri sana hata mashabiki wanaoenda kuitazama yanga kwa sasa wanapata burudani safi na mwaka huu naamin tutafika mbali kimataifa,hao kina al ahly na mazembe tunawasubiri kwa hamu tunajiamini timu tunayo
 
Kwa hakika mechi ya jana baina ya AZAM na YANGA kwa wengine ilitukumbushia mbali sana kipindi hicho tukiangalia mechi za mchangani ukute siku hiyo kina kipute cha NATIONAL VS FARU DUME au ABAJALO Vs SINZA STAR ama kwa hakika lile ndilo lilikuwa JANDO la wachezaji legelege kiwanjani

Mpira ukianza REFARII anachana kadi ya njano hadharani halafu anachezesha na BONGE LA KISU ipo kwenye ALA yake kiunoni !

Mara nyingi mipira hiyo ilikuwa haishi kwa AMANI, na jana pale Uwanja wa Amani bila kuingia WAJEDA na vikosi vya mbwa wakali Amani ya Uwanja ingetoweka!

Kituko Zaidi mpaka MAKAMANDOO wa AZAM na YANGA walikuwa wanazikunja KAVU KAVU kuelekea kwenye VYUMBA VYA KUMPUMZIKA nilimwona kama ALLY YANGA akikimbia KICHAPO toka vyumbani!

ILE ILIKUWA NI UNDAVA UNDAVA TUU!
 
Mwache ajiliwaze na vijimaneno vyake, kesho tunaelekeza mshale kwa Mtibwa Sugar, baada ya hapo atakayejipendekeza kuingia na sisi nusu fainali tutamchapa kwa sime na yule atakayejifanya finalist ni lazima tumtoboe tumbo kwa mkuki.

Ole wa Mtibwa na ole wenu msiojulikana kwa sasa.
Mkuu Yanga kuwa na kikosi kizuri haiondoi ukweli kwamba kuna baadhi ya mechi zinaashiria vitendo vya kuipendelea Yanga sijui kama ni makusudi au ni udhaifu wa marefa. Mechi ya Yanga na Mafunzo, Yondani alimshika jezi mchezaji wa mafunzo saws ilitolewa penati lakini kwa nini Yondani hakupewa yellow card, mechi ya Yanga na Azam ndo ilikuwa uozo kabisa, vurugu zote zile halafu eti kadi moja tu ya njano kwa Yanga tens in baada ya wachezaji wa Azam kulalamika sana. Kitendo cha Yondani kilistahili kadi tena nyekundu, kitendo cha Ngoma kumpiga Himid kilistahili kadi, kuna rafu nyingine aliicheza beki mbili wenu nayo ilistahili kadi.
 
Tuwe wa kweli angalia maamuzi mengi ya refa yalikuwa ni ya kuingamiza Azam,tukianzia kwenye fouls yanga walistahili kupata kadi mbili nyekundu kwa wachezaji Abdul na donald ngoma lakin refa akaacha sasa kama sio kubebwa nn, marefa wetu hawako fair hata kidogo, napenda kuwaambia hamtafika mbali kwenye CAF orange champion
wewe unataka kujifanya ile ya WAWA kumtandika mateke NGOMA haukuona? au ile ya RACINE kumtandika Vibao NGOMA haukuona.. na vipi goli halali la Mtibwa dhidi ya azam lililokataliwa na refa ulishawahi kuandika kuwa azam inabebwa??

siku nyingine ukiangalia mechi angalia pande zote mbili. sio mmoja.
 
Mkuu Yanga kuwa na kikosi kizuri haiondoi ukweli kwamba kuna baadhi ya mechi zinaashiria vitendo vya kuipendelea Yanga sijui kama ni makusudi au ni udhaifu wa marefa. Mechi ya Yanga na Mafunzo, Yondani alimshika jezi mchezaji wa mafunzo saws ilitolewa penati lakini kwa nini Yondani hakupewa yellow card, mechi ya Yanga na Azam ndo ilikuwa uozo kabisa, vurugu zote zile halafu eti kadi moja tu ya njano kwa Yanga tens in baada ya wachezaji wa Azam kulalamika sana. Kitendo cha Yondani kilistahili kadi tena nyekundu, kitendo cha Ngoma kumpiga Himid kilistahili kadi, kuna rafu nyingine aliicheza beki mbili wenu nayo ilistahili kadi.

Happy New Year Sir.

Mkuu Masuke naheshimu maoni yako maana hapa JF we dare to speak openly.
 
Kwa hakika mechi ya jana baina ya AZAM na YANGA kwa wengine ilitukumbushia mbali sana kipindi hicho tukiangalia mechi za mchangani ukute siku hiyo kina kipute cha NATIONAL VS FARU DUME au ABAJALO Vs SINZA STAR ama kwa hakika lile ndilo lilikuwa JANDO la wachezaji legelege kiwanjani

Mpira ukianza REFARII anachana kadi ya njano hadharani halafu anachezesha na BONGE LA KISU ipo kwenye ALA yake kiunoni !

Mara nyingi mipira hiyo ilikuwa haishi kwa AMANI, na jana pale Uwanja wa Amani bila kuingia WAJEDA na vikosi vya mbwa wakali Amani ya Uwanja ingetoweka!

Kituko Zaidi mpaka MAKAMANDOO wa AZAM na YANGA walikuwa wanazikunja KAVU KAVU kuelekea kwenye VYUMBA VYA KUMPUMZIKA nilimwona kama ALLY YANGA akikimbia KICHAPO toka vyumbani!

ILE ILIKUWA NI UNDAVA UNDAVA TUU!
Minor and polite correction: Makomandoo wa Simba na Yanga. Azam haina makomandoo.
 
Mechi ya Yanga na Azam ilikuwa Wawa apewe kadi nyekundu mapema sana. Aliyomfanyia Donald Ngoma ni straight red card. Akimvuta shati kisha kumpiga teke kichwani.

Mechi dhidi ya Mtibwa, Azam ilifutiwa goli dhahiri kabisa.

Azam anatumia waamuzi na TV yake!
 
Inaitwa Dar Young African au Yanga sio Yanga Afrika.
 
...title ilitakiwa iwe:
Yanga Africa inabebwa na kupakatwa; ndio maana wanatema tema mate hovyo!
 
Katika kuangalia kwangu mechi mbili za Yanga kwenye michuano ya mapinduzi cup naona dhahiri shairi kuna upendeleo kwenye timu ya Yanga.

Hili ni tatizo na nasema kabisa haitaweza kufanya vizuri kwenye mashindano ya Africa
Kajifunze soka wewe
 
Back
Top Bottom