Mkuu Yanga kuwa na kikosi kizuri haiondoi ukweli kwamba kuna baadhi ya mechi zinaashiria vitendo vya kuipendelea Yanga sijui kama ni makusudi au ni udhaifu wa marefa. Mechi ya Yanga na Mafunzo, Yondani alimshika jezi mchezaji wa mafunzo saws ilitolewa penati lakini kwa nini Yondani hakupewa yellow card, mechi ya Yanga na Azam ndo ilikuwa uozo kabisa, vurugu zote zile halafu eti kadi moja tu ya njano kwa Yanga tens in baada ya wachezaji wa Azam kulalamika sana. Kitendo cha Yondani kilistahili kadi tena nyekundu, kitendo cha Ngoma kumpiga Himid kilistahili kadi, kuna rafu nyingine aliicheza beki mbili wenu nayo ilistahili kadi.