Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mimi siyo mtaalamu wa soka wala siyo daktari wa michezo.
Hapa nitaweka mtazamo wangu kwa hisia tu hivyo mkiona nipo sahihi fuateni, mkiona sina hoja puuzeni tu.
Nikiangalia muenendo wa viwango vya wachezaji kiafya na viwango vyao wanaporudi toka majeruhi na kurudia kupata majeraha na utimamu wa mwili kiujumla nahisi kuna tatizo. Bahati mbaya Sina takwimu halisi kulinganisha wakati wa mtaalamu wa viungo na recovery Youssef Ammar na aliyepo sasa.
Huenda tatizo halipo kwa kocha wa viungo bali soka la nguvu na kasi la Gamond siyo la matokeo ya muda mrefu bila kubadili wachezaji (refreshing by signing new players). Au umri wa wachezaji na soka la kasi na nguvu umekuwa tatizo. Hayo hapo juu ukiongeza ratiba ngumu ya mechi mfululizo ni tatizo.
Hapa natoa angalizo sijasema mbinu za kocha Gamond. Naamini yeye bado kocha bora sana. Anachotakiwa kufanya ni kuwa flexible tu kufanya kazi na wachezaji au watu wengine kwenye benchi la ufundi asiowapenda. Kiburi na majivuno sana vita gharimu timu na ajira yake.
Huwezi kumnyima nafasi Kibwana na kumtumia make shift full back Denis Nkane kwenye mechi ambayo walinzi wawili wa kati wa kikosi cha kwanza hawapo. Isingewezekana kumtumia Kibwana sababu hakuwa timamu kwa kukosa muda uwanjani.
Mwisho nimalizie kwa kushauri tu Yanga itafute mchezaji mmoja mpya awe kijana mshabuliaji mzuri. Imbakize Mzinze na yeyote mwingine mmoja kati ya waliopo sasa. Wengine offload mapema.
Niwatakie kazi njema.
Pia soma
SABABU ZA KOCHA WA VIUNGO YANGA KUONDOKA...GAMONDI AHUSISHWA