Yanga aingia Robo Fainali CAFCC kibabe kwa kuongoza kundi lake

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Wakati wale Simba FC wakiingia Robo Fainali kama best loser wa kundi lake, wababe wa nchi ya Tanzania, Young Africans, wao wameingia kibabe baada ya kuongoza kundi lililosheheni timu vigogo Afrika kama Mabingwa mara 5 wa Afrika TP Mazembe, mabingwa wa Tunisia Monastir, mabingwa wa Mali nchi kubwa ya soka barani As Real Bamako.

Yanga inaenda kuleta kombe nchini[emoji1241][emoji1241] [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617].
View attachment 2574764
 
Hatari, sio kuifunga timu ya magolikipa wa Reserve ukiagiza shuti mbali imooo..
 
Kombe lenyewe ni la malooser.
 
Hakuna jipya hapo...
 
Hajaingia kwa kuongoza kundi. Kila timu mechi moja ya mwisho itakayoamua kati ya Yanga na US Monastir ni timu gani itaongoza kundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…