Daah,comment nyingine unabaki unacheka tu!
Ni kweli Yanga kafuzu robo fainali,ila hiyo haimaanishi kwamba wanaweza kuamua wasicheze mechi ya mwisho kama ambavyo inakuwa kwenye mikwaju ya penalty!Unajua kwanini mikwaju ya penalty Huwa haimaliziwi iwapo hakuna uwezekano wa kumfikia opponent? Penalty shootouts hazina record yeyote,haziongeze idadi ya magoli,mikwaju ya penalty ni kama kurusha shilingi Ili timu Moja isonge mbele baada ya kutoshana Nguvu!
Mechi za robo fainali haziwezi kupangwa kabla ya mechi za mwisho kupigwa,maana yoyote anaweza kuibuka kinara wa kundi kuelekea robo fainali!