Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Hv unadhan aliewaita utopolo alikosea?????
Umekosea ulipoidharau Simba kuwa imepita kama best looser kwenye kundi lake huku Yanga ikipita kama kinara wa kundi!
*Unasahau kwamba Yanga alitolewa kwenye hii michuano ambayo Simba anapambana,Inamaana losers ndio wanapambanishwa huko shirikisho ambapo unaisifia Yanga na kuidharau Simba ambayo inapambana na timu Bora zaidi!
*Tp mazembe Kwa Sasa Haina ubora,ni timu mbovu na ya kawaida sana!Simba 2020/2021 alifuzu kwenda robo fainali akiongoza kundi Kwa Pointi 13,kundi lilikuwa na Al Ahyl,El merreikh na AS Vital!Wakati huo Al Ahyl aliyefuzu wa pili alikuwa bingwa mtetezi wa CAFCL!
*Baada ya kuweka sawa hayo hapo juu,Yanga Bado hajafuzu kama kinara wa kundi,mechi ya mwisho ndio itaamua!
Hongereni wananchi Kwa kuweka historia ya kuingia robo fainali kombe shirikisho!Next time muwekeze Nguvu mshindane kwenye CAFCL na mfike robo fainali au zaidi!