Yanga aingia Robo Fainali CAFCC kibabe kwa kuongoza kundi lake

Hv unadhan aliewaita utopolo alikosea?????
 
Madhara ya kuchukua ubingwa wa mchongo ni kucheza kombe la malooser. Waliochukuwa ubingwa kihalali wapo Champions
 
Sasa ameongozaje kundi wakati bado mechi hazijaisha.
Kwa hiyo, kama mechi hazijaisha hakuna anayeongoza kundi hapa mechi zilipofikia? Mbumbumbu FC (Rage aliona mbali). Wana NGADA FC uelewa ni mdogo sana. Makolokolo yamewajaa hadi kichwani mpaka mnashindwa kuelewa vitu vidogo kabisa..!!
 
Mnabishana over nothing,ni utoto tu unawasumbua wakati kila kitu mnakielewa!
Yanga mpaka Sasa amefuzu robo fainali ila lakini hajafuzu akiwa kinara mpaka mechi za mwisho zitakazoamua!
Mpaka Sasa Yanga anaongoza kundi!
 
Hapo umefuzu lakini unapanic kiasi hiki kisa utani vipi ukifungwa huwa unakuwaje au ndiyo wale wa kurusha kabisa ngumi.Ushabiki wa mpira unahitaji mtu mwenye moyo wa kuhimili matani Mkuu [emoji3][emoji3]
 
Huyo nikimpaga makavu hadi analiaaaa machoziiiii, hajuagi kujizuia yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo umefuzu lakini unapanic kiasi hiki kisa utani vipi ukifungwa huwa unakuwaje au ndiyo wale wa kurusha kabisa ngumi.Ushabiki wa mpira unahitaji mtu mwenye moyo wa kuhimili matani Mkuu [emoji3][emoji3]
Sijapanic na wala sitapanic..!!
 
Mnabishana over nothing,ni utoto tu unawasumbua wakati kila kitu mnakielewa!
Yanga mpaka Sasa amefuzu robo fainali ila lakini hajafuzu akiwa kinara mpaka mechi za mwisho zitakazoamua!
Mpaka Sasa Yanga anaongoza kundi!
Hapo mwisho hapoo..!!!
 
Mnabishana over nothing,ni utoto tu unawasumbua wakati kila kitu mnakielewa!
Yanga mpaka Sasa amefuzu robo fainali ila lakini hajafuzu akiwa kinara mpaka mechi za mwisho zitakazoamua!
Mpaka Sasa Yanga anaongoza kundi!
Hivi unajua pro Russia wanajielewa sana. Hawawezi changanyika na makolo..
Utani tuu.
 
Simba imeongoza sanaa tuu wakiwa na wababe na sio kina Mazembe waliojichokea
 
Mbumbumbu fc kazi mnayo.[emoji2][emoji2]
 
Aibu kwa kuongoza kundi lake, aibu kwa kutinga kibabe hatua ya robo fainali, au aibu kwa kushinda uwanja wa Mkapa kwa 100%, na kwenye kila mechi?

Hebu kuwa specific.
Aibu kusheherekea kombe la loser
 
Aibu kusheherekea kombe la loser
Wana haki ya kusherehekea maana hawajawahi kufika robo fainali!
Simba imeshaingia mara nyingi robo fainali ndio maana story ni goli Saba na sio kufuzu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…