Yanga akifanikiwa kuitoa Al Hilal, hizi ndiyo zitakuwa hoja za mashabiki wa Simba

Ndiyo tayari mmemaliza kuwatoa kwa maneno, hii ndiyo kazi peke wanayoweza washabiki na wanachama wa Yanga, maneno mengii utafikiri walikaa kikao wakakubaliana, utekelezaji sasa zero.
 
Hawa Al hilal wafanye chapu wakutoe upunguzee mawazo
 
Haya mapooza ya Utopolo yamechanganyikiwa
Your browser is not able to display this video.
 
Toka kuwa shabiki MBUMBUMBU A.K.A MAKOLO hadi kuwa Nabii uchwara [emoji1787]
Hata ww ushakua nabii uchwara maana mlisema alhilal atapigwa kwa mkapa. Yani ni hivi Yanga wanachapwa trh 23 hilo ukae ujue.
 
Utopolo hawana akili.

Yani yanga Wenye akili ni wawili tu. Mzee KIKWETE na Mzee Manara tuuuu.

Haji Manara. Msemaji wa yanga.
 
Kwa kifupi hamuwezi kushinda sudan,kama mmeshindwa kutumia nafasi kibao hapo kwa mkapa then mnadanganyana mtashinda ugenini??
 
Unapoelekea sio kuzuri, hii presha uliyonayo bora jumapili ifike mapema kuokoa afya yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…