Trueman m
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 362
- 400
Ndiyo tayari mmemaliza kuwatoa kwa maneno, hii ndiyo kazi peke wanayoweza washabiki na wanachama wa Yanga, maneno mengii utafikiri walikaa kikao wakakubaliana, utekelezaji sasa zero.Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia.
Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi :
1. Yanga wamebahatisha.
2. Al Hilal hii siyo ile iliyocheza na Simba.
3. Simba wangewafunga mengi
4. Yanga hawawezi kufika mbali.
5. Tunawasubiri tarehe 23.
6. Al Hilal uzembe wao.
Ongeza nyingine.