Baada ya kuandika hivyo umefarijika sasa, unajiona mjanjaView attachment 2790258
Mashabiki WA Yanga Hawana Akili.
Mashabiki WA Yanga wapumbavu.
Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA na hawajaenda shule.
Baada ya kuandika hivyo umefarijika sasa, unajiona mjanja
Atapoteza MWIKO wake ule anaohangaika nao tangu 1935Kuna hasara yeyote tunapata ukila ban? Weka kitu cha kupoteza
Nchi hii kiboko mtu anatukana mwanzo mwisho sema ni hawa waliojua mpira ukubwani wanaweza hata kupigana kisa mipira.. wazee wa Gaga na Athumani China au Stiven Mussa Ticha tunawaangalia tu kule Hussein Aman Marsha Simba wana kiungo mmoja Michael Paul nailoni..Baada ya kuandika hivyo umefarijika sasa, unajiona mjanja
Nilkua namuona Harmorapa kilaza,kumbe ana nafuu wapo vilaza zaidi yake.
Leo siku ya Feitoto kulipiza kisasi.Mabingwa watetezi na wataalamu wa kutandaza soka safi, soka burudani nk watakuwepo uwanjani leo kupigania point 3 muhimu dhidi ya Azam wanalambalamba.
Bila kupapasa nasema leo Azam anafungwa za kutosha na iwapo Yanga ikifungwa basi nipigwe Ban.
Mwanambarali.
Nchi hii kiboko mtu anatukana mwanzo mwisho sema ni hawa waliojua mpira ukubwani wanaweza hata kupigana kisa mipira.. wazee wa Gaga na Athumani China au Stiven Mussa Ticha tunawaangalia tu kule Hussein Aman Marsha Simba wana kiungo mmoja Michael Paul nailoni..
Sawa mkuu pambana nao hao Watani zako...Hakuna mtu aliyetukana
Tumenukuu maneno ya
1. Haji manara
2. Luke Emrey.
3. Na VITABU vya KIHISTORIA.
Pia tunaangalia na Nyuzi ambazo zinaanzishwa mfano la
Laban Og
Nalia Ngwema.
Ndipo tunaprove kwamba Hawa akina Haji na Luke na VITABU hawakuropoka ilikuwa ni Kweli.
Na MANENO YAO YANAZODI KUISHI.
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Ushabiki wa mpira na utani wake siyo uadui mkuu. Lengo ni burudani na siyo vinginevyoView attachment 2790258
Mashabiki WA Yanga Hawana Akili.
Mashabiki WA Yanga wapumbavu.
Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA na hawajaenda shule.