Yanga akifungwa nipigwe ban

Yanga akifungwa nipigwe ban

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Mabingwa watetezi na wataalamu wa kutandaza soka safi, soka burudani nk watakuwepo uwanjani leo kupigania point 3 muhimu dhidi ya Azam wanalambalamba.

Bila kupapasa nasema leo Azam anafungwa za kutosha na iwapo Yanga ikifungwa basi nipigwe Ban.

Mwanambarali.
 
FB_IMG_1682646137959 (3).jpg
 
IMG_8024.jpeg

Mashabiki WA Yanga Hawana Akili.

Mashabiki WA Yanga wapumbavu.

Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA na hawajaenda shule.
 
Baada ya kuandika hivyo umefarijika sasa, unajiona mjanja
Nchi hii kiboko mtu anatukana mwanzo mwisho sema ni hawa waliojua mpira ukubwani wanaweza hata kupigana kisa mipira.. wazee wa Gaga na Athumani China au Stiven Mussa Ticha tunawaangalia tu kule Hussein Aman Marsha Simba wana kiungo mmoja Michael Paul nailoni..
 
Nilkua namuona Harmorapa kilaza,kumbe ana nafuu wapo vilaza zaidi yake.

Mimi nimeanza KUYAFANYIA Research maneno ya Haji MANARA.

Inanishangaza kweli.
ALISEMA pale yanga WENYE akili ni wawili tu.
Mzee KIKWETE na Mzee SUNDEY Manara.

Anasisitiza kwa Ujasili AKISEMA hawa mashabiki wengine ' WOTE' hawana Akili.

HAJI SUNDEY MANARA
 
Mabingwa watetezi na wataalamu wa kutandaza soka safi, soka burudani nk watakuwepo uwanjani leo kupigania point 3 muhimu dhidi ya Azam wanalambalamba.

Bila kupapasa nasema leo Azam anafungwa za kutosha na iwapo Yanga ikifungwa basi nipigwe Ban.

Mwanambarali.
Leo siku ya Feitoto kulipiza kisasi.
 
Nchi hii kiboko mtu anatukana mwanzo mwisho sema ni hawa waliojua mpira ukubwani wanaweza hata kupigana kisa mipira.. wazee wa Gaga na Athumani China au Stiven Mussa Ticha tunawaangalia tu kule Hussein Aman Marsha Simba wana kiungo mmoja Michael Paul nailoni..

Hakuna mtu aliyetukana
Tumenukuu maneno ya
1. Haji manara
2. Luke Emrey.
3. Na VITABU vya KIHISTORIA.

Pia tunaangalia na Nyuzi ambazo zinaanzishwa mfano la
Laban Og
Nalia Ngwema.

Ndipo tunaprove kwamba Hawa akina Haji na Luke na VITABU hawakuropoka ilikuwa ni Kweli.

Na MANENO YAO YANAZODI KUISHI.
 
Sawa mkuu pambana nao hao Watani zako...
 
Back
Top Bottom