Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8
Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama ataishia makundi!
Simba anazo alama 39, akiingia makundi anaongeza alama 1×5=5, ukijumlisha na alama zake 39 walizonazo wanafikisha 44, hapo ni endapo ataingia makundi!
Alama hapo zinakuwa zimebaki tofauti ya alama 3!
Sasa yanga akiingia robo fainali hadithi inageuka na chaka linafyekwa rasmi maana atafikisha alama 56 na Simba kama ataingia robo fainali atafikisha alama 54!
Hivyo basi Simba ajipapatutue aingie makundi ili angalau aongeza hizo alama 5 kama anataka kuendelea kuwa eneo salama kwenye rank tofauti na hapo ataondoshwa kwenye hiyo nafasi asubuhi na mapema kabla jogoo hajawika!