Yanga akiingia robo fainali tena kile kichaka cha rank kinakuwa kimefyekwa rasmi!

Umeeleza vyema
Mkuu hesabu zako hazijakaa sawa zirekebishe kidogo, zile point za msimu uliopita zinapungua hazibaki vile vile.

Yanga alipata point 3 msimu uliopita zikazidishwa na 5 ( msimu wa 5) unapata point 15 ila kwa msimu huu hizo point 3 zitazidishwa kwa 4 ( msimu wa 4) kwahiyo inakuwa point 12

Mpaka sasa (ukiachana na matokeo ya msimu huu yatakavyokuwa) Simba ina point 28 na Yanga ina point 24.

Kama Yanga ikiingia hatua ya makundi na ikashika nafasi ya tatu kwenye kundi watakuwa na point 34
Na ikifuzu robo fainali itakuwa na point 39

Simba ikishika nafasi ya tatu kwenye kundi kama ikifuzu makundi watakuwa na point 33
Na endapo ikifuzu robo fainali itakuwa na point 38
 
Kweli wanasema usimuamshe aliyelala. Yaani uto walikuwa hawawazi kabisa habari za ranking, leo hii wanapiga mahesabu kama kilimo cha matikiti.
Ranking ndio zinaleta kelele mjini licha ya kuwa mpo mashindano ya wanawake (rejea maneno ya Kafuguda). Hiki kichaka kikifyekwa adabu itarejea.
 
Mkuu hesabu zako hazijakaa sawa zirekebishe kidogo, zile point za msimu uliopita zinapungua hazibaki vile vile.

Yanga alipata point 3 msimu uliopita zikazidishwa na 5 ( msimu wa 5) unapata point 15 ila kwa msimu huu hizo point 3 zitazidishwa kwa 4 ( msimu wa 4) kwahiyo inakuwa point 12

Mpaka sasa (ukiachana na matokeo ya msimu huu yatakavyokuwa) Simba ina point 28 na Yanga ina point 24.

Kama Yanga ikiingia hatua ya makundi na ikashika nafasi ya tatu kwenye kundi watakuwa na point 34
Na ikifuzu robo fainali itakuwa na point 39

Simba ikishika nafasi ya tatu kwenye kundi kama ikifuzu makundi watakuwa na point 33
Na endapo ikifuzu robo fainali itakuwa na point 38
Marekebisho yako, yapo vizuri
 
Bora hata hesabu za mleta uzi zilikuwa na afueni kwa makolo, ila kumbe hesabu halisi ndio zimewakataa kabisa Simba yaani kwa kifupi Simba hapaswi kuishia hatua sawasawa na Yanga msimu huu, ndio itaweza kuwa juu ya Yanga kwa rank. Kwa mbaaali naona hiki kichaka cha rank kipo hatua ya karibu sana kufyekwa. Ngoja tuone mechi mechi za weekend hii itakuaje kuelekea makundi.
 
Wale washaelekea kibra wanachosubilia ni kuchinjwa tu na watachinjwa soon!
 
Hapo ndo mnapoteseka vyura mpaka mnaanza kupigana na vichaka na uzuri Simba huwa haikosi vichaka vya kuwapa mpambane navyo huku yenyewe ikijenga timu. Si mnaona mlivyopambana na kichaka cha Chama, mpaka mmekifyeka.
Rage alikua sahihi
 
Sio kwamba ilikuwa inauma bali umbumbumbu wenu mlikuwa mkiguswa kidogo mnakimbilia hoja ya rank kuwa nafasi ya 7 sasa mnashushwa kibabe mtake mtashuka mistake mtashuka tu, tuone mtabaki na nini!
Kaduguda anaumia kweli kweli
 
Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8

Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama ataishia makundi!

Simba anazo alama 39, akiingia makundi anaongeza alama 1×5=5, ukijumlisha na alama zake 39 walizonazo wanafikisha 44, hapo ni endapo ataingia makundi!

Alama hapo zinakuwa zimebaki tofauti ya alama 3!

Sasa yanga akiingia robo fainali hadithi inageuka na chaka linafyekwa rasmi maana atafikisha alama 56 na Simba kama ataingia robo fainali atafikisha alama 54!

Hivyo basi Simba ajipapatutue aingie makundi ili angalau aongeza hizo alama 5 kama anataka kuendelea kuwa eneo salama kwenye rank tofauti na hapo ataondoshwa kwenye hiyo nafasi asubuhi na mapema kabla jogoo hajawika!
Halafu na yanga ataanza kujisifia au?
 
Swali wadau wa mpira baada ya second group stage leo, Yanga Africans vs CBE, kuna stages ngapi zinabaki kabla ya quarter finals
 
Sio kwamba ilikuwa inauma bali umbumbumbu wenu mlikuwa mkiguswa kidogo mnakimbilia hoja ya rank kuwa nafasi ya 7 sasa mnashushwa kibabe mtake mtashuka mistake mtashuka tu, tuone mtabaki na nini!
Baba hapo chaka litakya limeshafyekwa.
 
Back
Top Bottom