Yanga akiingia robo fainali tena kile kichaka cha rank kinakuwa kimefyekwa rasmi!

Yanga akiingia robo fainali tena kile kichaka cha rank kinakuwa kimefyekwa rasmi!

Huelewi vitu vingi, umekurupuka. Yanga akiingia makundi sio automatically atakuwa na point 10, hadi ashike namba 3 kwenye group. Wakati huo huo Simba uiombee itolewe katika hatua hii, maana nayo ikiingia inakuwa automatically imejiongezea point 2.5
Ningekuonyesha hesabu zake, ila inaonekana unatakiwa upitie misingi kwanza
Yani wewe usifanye watu ni wajinga, izo alama ulizoziweka unataka kutuambia yanga akiwa wa 3 anakusanya alama 2, na Simba akiwa wa 3 anakusanya alama 2? Point za klabu bingwa na shirikisho aziwezi kuwa sawa ata siku Moja, ngoja zichezwe izo mechi na wote waingie makundi ndo utapata jibu lako!
 
Ndio maana nimesema ulikurupuka kuanzisha uzi, matokeo yake ndio haya. Badala ya wewe kutueleza, sasa unauliza!
Mwaka huu husika multiplier yake ni 5. Ukiwa nafasi ya 4 katika kundi la klabu bingwa, index yake ni 1 hivyo utapata alama (1x5=5) na katika kundi la shirikisho index yake ni 0.5 hivyo utapata alama (0.5x5=2.5).
Nafasi ya 3 ni 2 klabu bingwa na 1 shirikisho
Nafasi ya 2 na ya 1 (walioingia robo fainali) ni 3 klabu bingwa na 2 shirikisho
Walioingia nusu fainali ni 4 klabu bingwa na 3 shirikisho
Walioingia fainali ni 5 klabu bingwa na 4 shirikisho
Bingwa ni 6 klabu bingwa na 5 shirikisho
 
Sio kwamba ilikuwa inauma bali umbumbumbu wenu mlikuwa mkiguswa kidogo mnakimbilia hoja ya rank kuwa nafasi ya 7 sasa mnashushwa kibabe mtake mtashuka mistake mtashuka tu, tuone mtabaki na nini!
Watakuja na kichaka cha kujaza uwanja. Jamaa wamegoma kukubali mpinzani kawapiga bao sasa wamebaki kulazimisha furaha tu.
 
Ilikua inawauma sana,na hii ndio kuthibitisha Simba ni timu kubwa.

Kwaiyo izo timu ulizozitaja ata zikikutana na yanga hii unadhani ni nini kitatokea labda kwa akili zako? Na unaposema zilizopo chini yetu bado Kuna zilizokuwepo juu yetu pia na azipo kwa sasa CAFCL msimu huu kwa maana iyo utetezi wako auna mantiki, Simba tunaanza nayo kwakuwa ndio mpinzani wetu wa kwanza mwenye mdomo mrefu, tutaanza nae alafu watafuata wengine,,Na wengine wakiongeza alama ndio watazidi kuisukuma Simba nyuma zaidi kwakuwa point za shirikisho ni tofauti na point za klabu bingwa ivyo itaendelea kula kwenu mpaka akili ziwakae sawa!
Unapiga za mbavu
 
Nafasi ya chini kwa kuzidiwa na timu izo ulizozitaja za Pyramid, al hilal na raja Casablanca? Unasema wydad ndo ayupo vipi USM Alger Yuko klabu bingwa msimu huu?
Kwa nini utabiri wako umeishia robo fainali kwa timu zote mbili?
 
Watakuja na kichaka cha kujaza uwanja. Jamaa wamegoma kukubali mpinzani kawapiga bao sasa wamebaki kulazimisha furaha tu.
Na hapa ndipo vyura huwa wanateseka mno. Furaha yao wamewekeza kwenye huzuni za Simba huku Simba ikifurahia lolote lililo positive katika msimu matokeo yake unahisi watu wanalazimisha furaha kumbe wanafuraha na jambo lao +ve regardless ya msimu.
 
yaani tmu inacheza utumbo uwanjani inashindwa kupiga on target hata moja mechi nzima halafu uwe na furaha ya kujaza uwanja
 
yaani tmu inacheza utumbo uwanjani inashindwa kupiga on target hata moja mechi nzima halafu uwe na furaha ya kujaza uwanja
Hapo ndo mnapoteseka vyura mpaka mnaanza kupigana na vichaka na uzuri Simba huwa haikosi vichaka vya kuwapa mpambane navyo huku yenyewe ikijenga timu. Si mnaona mlivyopambana na kichaka cha Chama, mpaka mmekifyeka.
 
Ni wajinga na wapumbavu ambao wanaamini simba ni Bora kuliko Yanga.

Mo ni mzee wa kususa susa, ni mtu wa Chupli na samjo sana.

Muwekezaji wa simba ni Tatizo kubwa sana.

SIMBA INASAJILI CHEEP LABOUR DARAJA LA 4,5 INAWAACHA AKINA.
Dube.
Feisal.
Mayele.
Pakome.
Azizi.
Mpanzu
Kapumbu nk
 
Umeongea ya maana mimi nashauri hata mechi ya kesho tushinde 2 tu..
Imagine kama Wala Vital O walikula 10! Na hawa CBE wangepigwa tuseme 6 Home and away!
MAkundi wangetukamia kama Al Ahly
Hata hapa yenyewe kukamiwa kupo maana juzi nilikua Kwenye Fb za South Mashabiki wa South na West africa wanakwambia Yanga asitoke makundi kila mmoja anataka apangwe nae mana ni kama hivi karibuni anaonea watu ni kama Yanga imepata ubora fulani ambao unashtua baadhi ya Club kongwe! Orlando wameomba Wapangwe kundi moja na Yanga mana Yanga imeshawaonea Kaizer/Mamelodi sasa ni zamu yao kujipima ukubwa.. West Africa wao wanaamini Ligi ya Bongo imekua na Yanga wanatishia waarabu
Wanakwambia Timu za Tanzania Simba Na Yanga zikitoka makombe yatakosa ladha
 
Mnapiga mahesabu yenu kwa kuiwazia Simba ambaye hata hamko katika mashindano sawa, mnasahau kwamba mko kwenye ushindani na Raja, Pyramids, Al Hilal hizi zote zina point chini yenu ila zipo CAFCL na mnaweza kukutana nao. Hapo sijataja timu zote ambazo zipo juu yenu ambazo nazo zinaendelea kukusanya point. Mnadanganyana utadhani wengine wooote wataacha kucheza, ni nyie tu mtaendelea kukusanya points. Na hapo mnadhani mtaendelea kukutana na Vital'O na CBE. Bandiko limejaa nadharia kuliko uhalisia.
piga haooo bado wanapumua
 
Ni wajinga na wapumbavu ambao wanaamini simba ni Bora kuliko Yanga.

Mo ni mzee wa kususa susa, ni mtu wa Chupli na samjo sana.

Muwekezaji wa simba ni Tatizo kubwa sana.

SIMBA INASAJILI CHEEP LABOUR DARAJA LA 4,5 INAWAACHA AKINA.
Dube.
Feisal.
Mayele.
Pakome.
Azizi.
Mpanzu
Kapumbu nk
akili zako na Joyce Kilia mule mule
 
Watakuja na kichaka cha kujaza uwanja. Jamaa wamegoma kukubali mpinzani kawapiga bao sasa wamebaki kulazimisha furaha tu.
najua inawauma sisi kujaza uwanja , mmeshagawa hadi supu lakini uwanja hamjazi, kwa aibu mmekimbilia ka kiwanja kadogo kwa bi kizimkazi, kiingilio 1000 , VIP 3000 na bado hamtajaza
 
Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8

Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama ataishia makundi!

Simba anazo alama 39, akiingia makundi anaongeza alama 1×5=5, ukijumlisha na alama zake 39 walizonazo wanafikisha 44, hapo ni endapo ataingia makundi!

Alama hapo zinakuwa zimebaki tofauti ya alama 3!

Sasa yanga akiingia robo fainali hadithi inageuka na chaka linafyekwa rasmi maana atafikisha alama 56 na Simba kama ataingia robo fainali atafikisha alama 54!

Hivyo basi Simba ajipapatutue aingie makundi ili angalau aongeza hizo alama 5 kama anataka kuendelea kuwa eneo salama kwenye rank tofauti na hapo ataondoshwa kwenye hiyo nafasi asubuhi na mapema kabla jogoo hajawika!
Ingieni makundi kwanza ndiyo mlete hiyo mistari, wale wahabeshi wanaweza kupindua meza.
 
Unakiwaza kichaka ukiona kinafyekeka..!!!
Embu kumbuka vichaka hivi hapa;
1. Sisi wa kimataifa, hakipo
2. Sisi wa ligi ya mabingwa, kimeyoyomea mbali

Sasa kichaka cha rank, kipo njiani kufyekwa..!!

Na hao waarabu wakiwatoa, ndo basiii tenaaa..!!!
Msichokijua, wakati mnaota kufyeka hicho mnachoita "kichaka", mnaweza kufanya kazi bila malipo ya kuipandisha Simba katika hizo hizo rank. Tafuta uzi wangu niliowahi kusema kuhusu CRB na angalia nini kilichoenda kutokea. Sasa nawaambieni, mkipangwa na Mamelodi, kuna uwezekano mkubwa Simba ikapaa zaidi katika hizi ranking kuliko mnavyoota katika uzi huu. Nitakuja kufafanua wakati mwingine.
 
We jiropokeshe yote, lakini Jumapili ndo mwisho wenu. Na kutakuwa hakuna kichaka cha kujifichia..!! Vyote vitakuwa vishafyekwa.
 
Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8

Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama ataishia makundi!

Simba anazo alama 39, akiingia makundi anaongeza alama 1×5=5, ukijumlisha na alama zake 39 walizonazo wanafikisha 44, hapo ni endapo ataingia makundi!

Alama hapo zinakuwa zimebaki tofauti ya alama 3!

Sasa yanga akiingia robo fainali hadithi inageuka na chaka linafyekwa rasmi maana atafikisha alama 56 na Simba kama ataingia robo fainali atafikisha alama 54!

Hivyo basi Simba ajipapatutue aingie makundi ili angalau aongeza hizo alama 5 kama anataka kuendelea kuwa eneo salama kwenye rank tofauti na hapo ataondoshwa kwenye hiyo nafasi asubuhi na mapema kabla jogoo hajawika!
mahesabu yako umeyapiga vibaya
 
Back
Top Bottom