Yanga akiingia robo fainali tena kile kichaka cha rank kinakuwa kimefyekwa rasmi!

Umeeleza vyema
 
Kweli wanasema usimuamshe aliyelala. Yaani uto walikuwa hawawazi kabisa habari za ranking, leo hii wanapiga mahesabu kama kilimo cha matikiti.
Ranking ndio zinaleta kelele mjini licha ya kuwa mpo mashindano ya wanawake (rejea maneno ya Kafuguda). Hiki kichaka kikifyekwa adabu itarejea.
 
Marekebisho yako, yapo vizuri
 
Bora hata hesabu za mleta uzi zilikuwa na afueni kwa makolo, ila kumbe hesabu halisi ndio zimewakataa kabisa Simba yaani kwa kifupi Simba hapaswi kuishia hatua sawasawa na Yanga msimu huu, ndio itaweza kuwa juu ya Yanga kwa rank. Kwa mbaaali naona hiki kichaka cha rank kipo hatua ya karibu sana kufyekwa. Ngoja tuone mechi mechi za weekend hii itakuaje kuelekea makundi.
 
Wale washaelekea kibra wanachosubilia ni kuchinjwa tu na watachinjwa soon!
 
Hapo ndo mnapoteseka vyura mpaka mnaanza kupigana na vichaka na uzuri Simba huwa haikosi vichaka vya kuwapa mpambane navyo huku yenyewe ikijenga timu. Si mnaona mlivyopambana na kichaka cha Chama, mpaka mmekifyeka.
Rage alikua sahihi
 
Sio kwamba ilikuwa inauma bali umbumbumbu wenu mlikuwa mkiguswa kidogo mnakimbilia hoja ya rank kuwa nafasi ya 7 sasa mnashushwa kibabe mtake mtashuka mistake mtashuka tu, tuone mtabaki na nini!
Kaduguda anaumia kweli kweli
 
Halafu na yanga ataanza kujisifia au?
 
Swali wadau wa mpira baada ya second group stage leo, Yanga Africans vs CBE, kuna stages ngapi zinabaki kabla ya quarter finals
 
Sio kwamba ilikuwa inauma bali umbumbumbu wenu mlikuwa mkiguswa kidogo mnakimbilia hoja ya rank kuwa nafasi ya 7 sasa mnashushwa kibabe mtake mtashuka mistake mtashuka tu, tuone mtabaki na nini!
Baba hapo chaka litakya limeshafyekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…