Yanga akishinda leo nipigwe ban

Yanga akishinda leo nipigwe ban

Kwa jinsi hawa Belouzdad ninavyowajua , na kiwango walichokuwanacho sasa hivi, Yanga anakufa sio chini ya goli tatu. Tukutane baada ya mechi
Wanacheza vizuri ila sio wazuri kama mnavyowasifia maana hayo ni makoloni ya Mamelodi washawahi kula gongo 5 hao...na kila msimu wanakutana nao robo angalia matokeo yake...Juzi nimeona wameshinda goli moja home sio wabaya wataleta ushindani ila lolote linaweza kutokea hata wao kufungwa pia...
 
Haya maneno hayafanyi kazi juu ya Yanga siku hizi, kila anayekuja mbele yetu ni saizi yetu na atapata stahiki yake kwa kiwango chake.

Dhaifu zao goli 5, wakiwa wazuri karibu kutufikia ndio inakuwa kwa taabu sana goli 2.
 
Kwa jinsi hawa Belouzdad ninavyowajua , na kiwango walichokuwanacho sasa hivi, Yanga anakufa sio chini ya goli tatu. Tukutane baada ya mechi
mambo za kukimbiahumu kwa kiisingizio cha BAN wakati kesho Asec anawapasua 3-1 hatutaki...tunataka mbaki humu humu tuwanange umbwa nyie.
 
Haya maneno hayafanyi kazi juu ya Yanga siku hizi, kila anayekuja mbele yetu ni saizi yetu na atapata stahiki yake kwa kiwango chake.

Dhaifu zao goli 5, wakiwa wazuri karibu kutufikia ndio inakuwa kwa taabu sana goli 2.
Nakazia.
 
Back
Top Bottom