Yanga akishinda mechi zake zijazo ikiwamo ya kimataifa, turarajie kusikia nini kutoka kwao?

Yanga akishinda mechi zake zijazo ikiwamo ya kimataifa, turarajie kusikia nini kutoka kwao?

Yule jamaa aliyewaita mbumbumbu wale viumbe, hakika aliwaza mbali sana. Wale viumbe hawana tofauti na ndege [emoji3079] aina ya kasuku.
Mkuu pale kmc pia kuna CCTV angalieni msije mkakamatwa tena.
 
Cha muhimu waache kujidunga. Wacheze Mpira WA kiwango Chao. CAF hawawezi kuwaachia hao sio TFF.
Yaani ukitumia yale madawa hata baada ya miezi sita wakipimwa wachezaji wanakamatwa yanga inabidi wawe makini.
 
Back
Top Bottom