pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Nov 10, 2024 #21 Tate Mkuu said: Yule jamaa aliyewaita mbumbumbu wale viumbe, hakika aliwaza mbali sana. Wale viumbe hawana tofauti na ndege [emoji3079] aina ya kasuku. Click to expand... Mkuu pale kmc pia kuna CCTV angalieni msije mkakamatwa tena.
Tate Mkuu said: Yule jamaa aliyewaita mbumbumbu wale viumbe, hakika aliwaza mbali sana. Wale viumbe hawana tofauti na ndege [emoji3079] aina ya kasuku. Click to expand... Mkuu pale kmc pia kuna CCTV angalieni msije mkakamatwa tena.
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Nov 10, 2024 #22 mama kubwa said: Cha muhimu waache kujidunga. Wacheze Mpira WA kiwango Chao. CAF hawawezi kuwaachia hao sio TFF. Click to expand... Yaani ukitumia yale madawa hata baada ya miezi sita wakipimwa wachezaji wanakamatwa yanga inabidi wawe makini.
mama kubwa said: Cha muhimu waache kujidunga. Wacheze Mpira WA kiwango Chao. CAF hawawezi kuwaachia hao sio TFF. Click to expand... Yaani ukitumia yale madawa hata baada ya miezi sita wakipimwa wachezaji wanakamatwa yanga inabidi wawe makini.