Yanga akishinda na waarabu nipigwe ban miezi sita

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,183
Reaction score
2,871
Uchawi wenu huwa mnafanya huku mafia kisiwa cha juani na gem ya mwisho aliwasaidia mganga toka msumbiji huku mafia na kuanzia jana mmeanza tena kuja mimi ikiwa mzaliwa wa mafia naapa kwamba safari hii nishatibu mipango na naendelea kutibua
 
Screenshot_20230522-182653.jpg
 
Uchawi wenu huwa mnafanya huku mafia kisiwa cha juani na gem ya mwisho aliwasaidia mganga toka msumbiji huku mafia na kuanzia jana mmeanza tena kuja mimi ikiwa mzaliwa wa mafia naapa kwamba safari hii nishatibu mipango na naendelea kutibua
What is so special about you!! Hata ungepigwa Ban ya maisha! Una msaada/umuhimu gani humu jamii forums?

Dogo acha kutafuta kick kupitia mgongo wa timu kubwa kabisa Barani Afrika, kama Yanga. Wewe ni mtoto mdogo sana.
 
Nani huyo, mm nilipigwa kama nilivyosema wiki nzima na nikapigwa wiki kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@Half american hivi ile ban uliyoomba ile siku uliomba ya mda gani Melo akakupa nusu saa tu kukuonea huruma akasema mambo ya utani wa mpira
 
Ilikua ya miezi 6

Uchawi wenu huwa mnafanya huku mafia kisiwa cha juani na gem ya mwisho aliwasaidia mganga toka msumbiji huku mafia na kuanzia jana mmeanza tena kuja mimi ikiwa mzaliwa wa mafia naapa kwamba safari hii nishatibu mipango na naendelea kutibua
Mmekalia ushirikina tu, ndio maana timu yenu haizidi robo fainali. Kama mpira ni uchawi, vipi mbona nyie wachawi maarufu mara kuwasha Moto, mara gari kurudi kinyumenyume kilometa 30 mbona hamchukui makombe?.
 
Back
Top Bottom