Yanga alipata magoli mawili halali huku Simba ikipata moja leo pale kwa Mkapa

Hakuna cha mgomo Wala nini, Simba ni mbovu na Leo imekandwa ikakandika full stop!! Mkubali tu yaishe! Mkiendelea kubisha mechi ijayo ya derby ni yetu tutawapiga wiki (7-0).

Wewe unaijua simba kuliko mimi nitashangaa basi
 
Nilichokiona baada ya kuangalia marudio

1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi.

2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi ya pili kabla ya ile ya mwisho.

3. Inonga aliugusa mpira kwenye box hivyo Ile penati haikuwa halali.

4. Simba ina wachezaji wazee, wamepitwa na wakati. Waachane na akina bocco, hussein, chama, kapombe na ntibazonkiza.

Kisasi cha 5 kimelipwa, bado kile cha 4 na cha 6.
Wewe uwahi dodoma ukafungue faili
 
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, kweli aliyetoa msemo wa "MPAKA USEME" kwenye hii derby aliwaza mbali. Kila mtu anakuja na nyuzi za kutapa tapa mwingine ana dai kuwa kuna usaliti, wewe nawe unekuja na magoli sio halali. Hakuna anayetaka kukubali kuzidiwa, tufanye hizo sababu zote ni sahihi hivyo tumalize mjadala Simba ni timu bora iliyokamilika Yanga wamepata magoli kwa msada wa wasaliti na waamuzi. Mficha maradhi...........
Waache tu waendeleze sababu, siku wakishtuka timu yao haieleweki muda utakuwa umeenda watakula jeuri Yao.
 
Nilichokiona baada ya kuangalia marudio

1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi.

2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi ya pili kabla ya ile ya mwisho.

3. Inonga aliugusa mpira kwenye box hivyo Ile penati haikuwa halali.

4. Simba ina wachezaji wazee, wamepitwa na wakati. Waachane na akina Bocco, Hussein, Chama, Kapombe na Ntibazonkiza.

Kisasi cha 5 kimelipwa, bado kile cha 4 na cha 6.
Yaani mpaka usemee..!!
Yaani hapo badooo....!!

CC
GENTAMYCINE, Kalpana, Mshana Jr

KHAMSAA...!!!
 
Nilichokiona baada ya kuangalia marudio

1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi.

2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi ya pili kabla ya ile ya mwisho.

3. Inonga aliugusa mpira kwenye box hivyo Ile penati haikuwa halali.

4. Simba ina wachezaji wazee, wamepitwa na wakati. Waachane na akina Bocco, Hussein, Chama, Kapombe na Ntibazonkiza.

Kisasi cha 5 kimelipwa, bado kile cha 4 na cha 6.
4 na 5 ipi kubwa? Sema bado 6
 
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, kweli aliyetoa msemo wa "MPAKA USEME" kwenye hii derby aliwaza mbali. Kila mtu anakuja na nyuzi za kutapa tapa mwingine ana dai kuwa kuna usaliti, wewe nawe unekuja na magoli sio halali. Hakuna anayetaka kukubali kuzidiwa, tufanye hizo sababu zote ni sahihi hivyo tumalize mjadala Simba ni timu bora iliyokamilika Yanga wamepata magoli kwa msada wa wasaliti na waamuzi. Mficha maradhi...........
Mbumbumbu hao
 
Nilichokiona baada ya kuangalia marudio

1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi.

2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi ya pili kabla ya ile ya mwisho.

3. Inonga aliugusa mpira kwenye box hivyo Ile penati haikuwa halali.

4. Simba ina wachezaji wazee, wamepitwa na wakati. Waachane na akina Bocco, Hussein, Chama, Kapombe na Ntibazonkiza.

Kisasi cha 5 kimelipwa, bado kile cha 4 na cha 6.
Wewe ni lizee la hovyo hovyo! Umeandika ugoro!
 
Mpaka msemee
 
Back
Top Bottom