Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona madunduka hawajalipa kisasi cha gori 9 kwa 0..?Nilichokiona baada ya kuangalia marudio
1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi.
2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi ya pili kabla ya ile ya mwisho.
3. Inonga aliugusa mpira kwenye box hivyo Ile penati haikuwa halali.
4. Simba ina wachezaji wazee, wamepitwa na wakati. Waachane na akina Bocco, Hussein, Chama, Kapombe na Ntibazonkiza.
Kisasi cha 5 kimelipwa, bado kile cha 4 na cha 6.
Nilimaanisha mwiko. App imenibadilishia neno.Sijaelewa hapa unamaanisha nini
Picha lakutisha hili hapa,piga tobo dabali Che Malon na ManulaNilimaanisha mwko. App imenibadilishia neno.
Basi tukubaliane matokeo ya jana full time; simba 1 na Yanga 2.Nilichokiona baada ya kuangalia marudio
1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi.
2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi ya pili kabla ya ile ya mwisho.
3. Inonga aliugusa mpira kwenye box hivyo Ile penati haikuwa halali.
4. Simba ina wachezaji wazee, wamepitwa na wakati. Waachane na akina Bocco, Hussein, Chama, Kapombe na Ntibazonkiza.
Kisasi cha 5 kimelipwa, bado kile cha 4 na cha 6.
Hapana, tufute mabao yote tusemr wametoka droo 1-1; Itawapa faraja kidogo.Basi tukubaliane matokeo ya jana full time ni simba 1 na Yanga 2.
Shabiki wa kweli wa Mpira hawezi kufungwa akaona aibu. Bali tu inaumiza kiasiPoint namba 4 ndo ya muhimu. Hizo za juu hazina maana, historia ishaandikwa, aibu tushaipata.
TakatakaNilichokiona baada ya kuangalia marudio
1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi.
2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi ya pili kabla ya ile ya mwisho.
3. Inonga aliugusa mpira kwenye box hivyo Ile penati haikuwa halali.
4. Simba ina wachezaji wazee, wamepitwa na wakati. Waachane na akina Bocco, Hussein, Chama, Kapombe na Ntibazonkiza.
Kisasi cha 5 kimelipwa, bado kile cha 4 na cha 6.
Na mambo si magumu hivi. This is football unless umebeti figo kuwa ukifungwa itolewe ikauzwe na usipewe hata mia ndo unaweza sema ni sawa matokeo yakikufanya uchanganyikiwe. Ila kama ni matokeo tu unasubiri wakati mwingine tutakutana tena.Shabiki wa kweli wa Mpira hawezi kufungwa akaona aibu. Bali tu inaumiza kiasi
Kwani wakati tunawapiga Yanga 5:0 mwaka 2012
Na 4-1 kombe la Azam unadhani walikuwa hawaumii.