Yanga alipata magoli mawili halali huku Simba ikipata moja leo pale kwa Mkapa

Bado hamjasema itoshe kusema Simba imefungwa magoli mengi sana na Yanga.
 
Mbona madunduka hawajalipa kisasi cha gori 9 kwa 0..?
Waambie kama wataweza kuifuta hiyo rekodi .
 
Basi tukubaliane matokeo ya jana full time; simba 1 na Yanga 2.
 
Sawa. Yanga alipata magoli 2 halali, na Simba moja halali. Halafu, mshindi akawa ni Simba.
Walimu wa enzi hizo walikuwa na kazi,bora uliacha shule aise.
Yaani,kivyovyote na kiubishiubishi, Simba kamla Yanga. Duh!
 
Kwa highlights nilizoangalia YT goli mbili za Yanga zilikua offside. All in all, Simba kapakatwa 😂

 

Attachments

  • 7.JPG
    20.1 KB · Views: 1
Point namba 4 ndo ya muhimu. Hizo za juu hazina maana, historia ishaandikwa, aibu tushaipata.
Shabiki wa kweli wa Mpira hawezi kufungwa akaona aibu. Bali tu inaumiza kiasi

Kwani wakati tunawapiga Yanga 5:0 mwaka 2012

Na 4-1 kombe la Azam unadhani walikuwa hawaumii.
 
Takataka
 
Shabiki wa kweli wa Mpira hawezi kufungwa akaona aibu. Bali tu inaumiza kiasi

Kwani wakati tunawapiga Yanga 5:0 mwaka 2012

Na 4-1 kombe la Azam unadhani walikuwa hawaumii.
Na mambo si magumu hivi. This is football unless umebeti figo kuwa ukifungwa itolewe ikauzwe na usipewe hata mia ndo unaweza sema ni sawa matokeo yakikufanya uchanganyikiwe. Ila kama ni matokeo tu unasubiri wakati mwingine tutakutana tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…