Yanga anakwenda kutwaa kombe ugenini kwa kupindua meza kama alivyofanya Tunisia

Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.

Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa mbili bila.

Pia, ukichunguza kwa makini, utagundua kwa timu zenye uwezo, swala la home and away lina effects ndogo sana hasa katika soka la siku hizi. Timu mbovu ndio huwa zinaathirika sana zinapokuwa ugenini lakini sio vilabu vyenye ubora vinavyoweza kushinda popote na Yanga ikiwemo.

Muda utaaongea.
Sawa, sisi wakola tuasubiri!
 
KufiÄ·iria Gongowazi kwenda kupindua meza ni sawa na kupiga punyeto
 
Bado nina Imani na Yanga japo wamefungwa wanaweza kufanya kitu pale Algiers Muhimu tuwaombee maana sote ni Taifa moja
 
Ujuaji ndio sumu inayowaua yanga

Kwa alhilal ilikuwa hiv hvi yakatokea ya kutokea,

Kubaliniwaka huu mmeweka rekodi ya kucheza fainali kwa kupitia njia nyepesi lakin uwezo wa kushindana hamna

Angalieni mechi ya wydad simba walichezaje ili mjifunze namna ya kucheza mechi kubwa sio nyepesi kama unacheza na marumo
 
Hatuwezi kujifunza kwa watu wanaoishia robo miaka minne mfululizo.
 
Kwanini umewastua Mbumbumbu mapema hivi?

Ungekaa kimya tu maana kwenye mpira lolote huwa lawezekana, kikubwa ni kuchanga karata vyema na bahati iwepo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwani hizo karata mnachanga pekee yenu? Au bahatii iko kwenu tyuuh??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msichokijuwa leo Yanga ilikuwa inapambana na timu mbili, moja uwanjani na moja ilikuwa invisible.
Umeshavurugwaaaaaa mapemaaa yoteee hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mbili moja tunakwenda kwenye penalties.

Hii ngoma bado mbichi, tena Yanga ndio anakwenda kujilipuwa kule kwao haina cha kupoteza.
Wao USMA hawajui jihadi? Hata kujilipua wanaweza pia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani mtu ana wachambua anavyotaka ndani ya box kisha anatoa pasi ya upendo, alafu eti timu yenye uwezo,, ni uwezo upi huo broo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mie nashangaaa hapo
 
Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia.

Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa mbili bila.

Pia, ukichunguza kwa makini, utagundua kwa timu zenye uwezo, swala la home and away lina effects ndogo sana hasa katika soka la siku hizi. Timu mbovu ndio huwa zinaathirika sana zinapokuwa ugenini lakini sio vilabu vyenye ubora vinavyoweza kushinda popote na Yanga ikiwemo.

Muda utaaongea.
Alisikika chura mmoja kutoka Utopoloni akiweweseka.
 
Unaweza kusema wa maana kumbe hola,make mbali na TV zenu siku hiyo hatuhitaji misiba
 
Vyura
20230416_215406.jpg

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom