Yanga anaweza kutofuzu robo finali CAFCC

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Yanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...

Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
 
Hesabu yako IPO sawa.

Yanga Wana Timu nzuri mno.

Bado ni wageni kwenye Mashindano ya kimataifa.
Viongozi wao Bado wanajifunza.
Wapo shule.

Kwa kikosi walichonacho yanga wangekuwanacho Simba nahisi Simba ingefika Fainali.

Mapungufu makubwa sana ya Simba ni.
6,8,9. Hebu fikiria Hawa watu wangekuwa Simba.
Bangala.
Aucho.
Mayele.

Simba ingekuwa BINGWA wa CAF 2023.
 
Yanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...

Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
Hesabu zako nzuri,Tukutane hapa tarehe 19/03/2023 saa 3 usiku usikimbie.
 
Yanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...

Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
Sijasoma uzi ila sio kwamba anaweza asifuzu, Yanga haendi popote..
Hata ikatokea tumeshindwa kuendelea hatua ya robo fainali, bado tuna nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wetu wa NBC, na pia ASFC.

Kuna shida nyingine? Mwakani tutashiriki tena.
 
Yanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...

Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
We mkia unateseka ukiwa wapi au nganda imekulea hao mikia wenzio wamefezu
 
Back
Top Bottom