Yanga anaweza kutofuzu robo finali CAFCC

Yanga anaweza kutofuzu robo finali CAFCC

Hata ikatokea tumeshindwa kuendelea hatua ya robo fainali, bado tuna nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wetu wa NBC, na pia ASFC.

Kuna shida nyingine? Mwakani tutashiriki tena.
Tatizo lenu mnawekeza kwenye vitu vidogooo ..
 
Kama kawaida yetu. Tulianza na Ngao ya jamii, tunachukua Kombe la Ligi kuu, na tutamalizia na Kombe la Azam Sports Federation. Yaani tunafanya kama msimu uliopita.
Endelea kuota
 
Mazembe atashinda Bamako!?..akidroo tu kaliwa,maana yanga lazima atapata pointi jumapili
Kama ulikaribia kuchukua point tatu ila kwa sababu ya u-underdog wako ukaruhusu bao la jioni,, Mazembe anakwenda kuchukua alama zote tatu, na kwa taarifa yako uwezo wa kumfunga Monastir huna,, mnapigwa bao zilezile mbili za set piece game inaisha,, na wakati huo huo Mazembe ana kusubiri kwa hamu tu
 
Kama ulikaribia kuchukua point tatu ila kwa sababu ya u-underdog wako ukaruhusu bao la jioni,, Mazembe anakwenda kuchukua alama zote tatu, na kwa taarifa yako uwezo wa kumfunga Monastir huna,, mnapigwa bao zilezile mbili za set piece game inaisha,, na wakati huo huo Mazembe ana kusubiri kwa hamu tu
vipi wewe uliekula bao 3 nyumbani u giant wako ulikusaidia nini
 
We we e mwenyewe unajua kama uwezo wenu kwenye caf ni mdogo wala haiitaji maelezo mengi
Mngekua na uwezo mungekua musha fuzu nyie ni wenzetu tu ila mna kiburi na kujiona. Raja, Mamelodi, Espence, Wydad hawaombi Mungu kama nyie ndio ujue nyie ni wa hapa hapa tu
 
Yanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...

Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.

Weka akiba ya maneno kufika Jumapili ni majaliwa ya Anae miliki Dunia na pumzi
 
Pamoja na kwamba utopolo siwapend ila ukweli ni mchungu yanga anaingia robo fainali mapema sana .
Kikosi kinawabeba sana hao warabu Sion wakitoka Kwa mkapa.
Wanachonifurahisha vyura ni wapambanaji mwanzo mwisho tofaut na sisi Simba huwa tunakata tamaa hasa tukitanguliwa na kupanic juu, pia sisi Simba tukitangulia goli Moja tunaanza ujinga wa kucheza na majukwaa na kujituma kunapungua.
Mimi karata yanga Nampa uto na anatinga mapema sana na nawaombea wafike robo Ili wakakutane na wanaume wa shoka Ili wajipime na pengine wataanza kutuheshimu Simba Kwa kuona mziki uliopo hapo robo fainali na wataelewa why tumekwamia hapo .
 
Back
Top Bottom