XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Ni kawaida ya mpira mkuu, baada ya hapo nikampiga mtu nje ndanivipi wewe uliekula bao 3 nyumbani u giant wako ulikusaidia nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kawaida ya mpira mkuu, baada ya hapo nikampiga mtu nje ndanivipi wewe uliekula bao 3 nyumbani u giant wako ulikusaidia nini
Mbona hujamtaja bingwa mara nyingi zaidi Al ahly au na yeye haombi mungu ?Mngekua na uwezo mungekua musha fuzu nyie ni wenzetu tu ila mna kiburi na kujiona. Raja, Mamelodi, Espence, Wydad hawaombi Mungu kama nyie ndio ujue nyie ni wa hapa hapa tu
Hata asipo chukua msimu huu huna unacho lingana naeMbona hujamtaja bingwa mara nyingi zaidi Al ahly au na yeye haombi mungu ?
Kama Raja atakavyo kugonga nje ndaniNi kawaida ya mpira mkuu, baada ya hapo nikampiga mtu nje ndani
Kwa Mkapa hatoki mtu ni stori imehamia Yanga! Ngoja tuone!Ni kweli Yanga SC, Safari yake inaishia hapa hapa makundi, Jumapili kwa Mkapa anapigwa na akienda Congo anapigwa na Mazembe
Kwa maandalizi ambayo yanaendelea huku Avic Town siwaoni US Monastir Kama watatoka.Pamoja na kwamba utopolo siwapend ila ukweli ni mchungu yanga anaingia robo fainali mapema sana .
Kikosi kinawabeba sana hao warabu Sion wakitoka Kwa mkapa.
Wanachonifurahisha vyura ni wapambanaji mwanzo mwisho tofaut na sisi Simba huwa tunakata tamaa hasa tukitanguliwa na kupanic juu, pia sisi Simba tukitangulia goli Moja tunaanza ujinga wa kucheza na majukwaa na kujituma kunapungua.
Mimi karata yanga Nampa uto na anatinga mapema sana na nawaombea wafike robo Ili wakakutane na wanaume wa shoka Ili wajipime na pengine wataanza kutuheshimu Simba Kwa kuona mziki uliopo hapo robo fainali na wataelewa why tumekwamia hapo .
Underdog tumempiga africaine kwake,tukapiga mazembe tatu,monastir akacheza Kama mgeni kwake,jumapili lazima aliwe kichwaKama ulikaribia kuchukua point tatu ila kwa sababu ya u-underdog wako ukaruhusu bao la jioni,, Mazembe anakwenda kuchukua alama zote tatu, na kwa taarifa yako uwezo wa kumfunga Monastir huna,, mnapigwa bao zilezile mbili za set piece game inaisha,, na wakati huo huo Mazembe ana kusubiri kwa hamu tu
Kama ambavyo huna unacholingana na Tp mazembeHata asipo chukua msimu huu huna unacho lingana nae
Unashangaa wenzio kwa kutabiri matokeo halafu na wewe unasema "mi nipo hapa Tuone km Monastir atamfunga Yanga kwa mkapa". Kama unadai hao wenzio wana matatizo ya akili, sijui wewe u hali gani.Yan sijawahi kutana na Mashabiki wa Soka Vichwa Maji km wa Kibongo..Ivi huo Mpira mnao uongelea ni mpira gani? Huu wa Duara ? Unaocgezwa kwenye uwanja wa Wazi ama?? Wanafungwa PSG 3-0 na Rennes..Hii PSG yenye Messi,Mbappe,neymar,vitinha,Ramos,,Achraf hakimi, marco verrati, juan bennat, kimpembe, Renato sanchez..Watu wana UEFA tatu tatu humo mpk Tano na Tuzo binafs kibao..Rennes wana nn..sembuse Monastir kufungwa na Yanga..Sas Nini maana ya mpira wa Miguu kuchezwa km tayari matokeo yanajulikana..Kwel Tanzania kn Wagonjwa weng wa Akili..Bas mi nipo hapa Tuone km Monastir atamfunga Yanga kwa mkapa..Acheni Upumbavu mpira haujawah kuwa na Matokeo mpk uchezwa dk90..! Alieanzisha huu uzi aende Hospital akachekiwe akili Im sure He is Mental Illness Trust me📌
Mazembe ipi ya kumfunga YangaYanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...
Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
Soma nlicho andika hakikisha umekielewa sijasimama kwa mtu npo on Win Win situation..📌Unashangaa wenzio kwa kutabiri matokeo halafu na wewe unasema "mi nipo hapa Tuone km Monastir atamfunga Yanga kwa mkapa". Kama unadai hao wenzio wana matatizo ya akili, sijui wewe u hali gani.
NANUKUU... Mazembe akimfunga Real Bamako... Mwisho wa kunukuu..!! VIPI ASIPOMFUNGA?Yanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...
Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
TP Mazembe hashindi, hicho ndio kinawapa uhakika YangaYanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...
Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.