Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
🤣🤣🤣🤣Ongezea "zeze"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Ongezea "zeze"
ImetoshaOngezea "zeze"
🤣🤣🤣🤣Niamini Mkuu, Mrejesho wataupata humu humu baada ya mchezo wa jumapilii😂😂😂
Uume wako uko salama jombaa.Yanga atashinda bao tatu dhidi ya monastir Dar es salaam,iwapi atashindwa naweka Bondi uume wangu ukatwe na jambia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Njoo hapa wewe msimbe
Niliongea hapa Sasa Nadhani Mmeona madhara ya Domo kuponza Kichwa😎📌🔨 FT:- YANGA 2 - 0 MONASTIR....AhsanteniYan sijawahi kutana na Mashabiki wa Soka Vichwa Maji km wa Kibongo..Ivi huo Mpira mnao uongelea ni mpira gani? Huu wa Duara ? Unaocgezwa kwenye uwanja wa Wazi ama?? Wanafungwa PSG 3-0 na Rennes..Hii PSG yenye Messi,Mbappe,neymar,vitinha,Ramos,,Achraf hakimi, marco verrati, juan bennat, kimpembe, Renato sanchez..Watu wana UEFA tatu tatu humo mpk Tano na Tuzo binafs kibao..Rennes wana nn..sembuse Monastir kufungwa na Yanga..Sas Nini maana ya mpira wa Miguu kuchezwa km tayari matokeo yanajulikana..Kwel Tanzania kn Wagonjwa weng wa Akili..Bas mi nipo hapa Tuone km Monastir atamfunga Yanga kwa mkapa..Acheni Upumbavu mpira haujawah kuwa na Matokeo mpk uchezwa dk90..! Alieanzisha huu uzi aende Hospital akachekiwe akili Im sure He is Mental Illness Trust me📌
Leo mbinguni wamesaga meno kwa vilio.Yanga wanapofungwa hadi mbinguni wanafurahi.
Bakuli limefungwa.We we e mwenyewe unajua kama uwezo wenu kwenye caf ni mdogo wala haiitaji maelezo mengi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huna uwezo ya kumfunga Monastir
Uko wap wewe mtabiri uchwaraaaaYanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...
Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
Timu yenu ikisemwa inawauma sana hadi nasikia wengine mnagoma kula. Mnasoma comment kwa huzuni na zile zinazowauma saana mnazisave hadi siku mtakapopata kitu cha kujibu 🤣😂🤣 Mna kazi sana!Leo mbinguni wamesaga meno kwa vilio.
Kongole mkuuHesabu zako nzuri,Tukutane hapa tarehe 19/03/2023 saa 3 usiku usikimbie.
Risiti za waropokaji lazima tutunze alafu tunazijia baadae ukiwa umeshikwa na aibu sasa kukumbusha usinene ukamala.Timu yenu ikisemwa inawauma sana hadi nasikia wengine mnagoma kula. Mnasoma comment kwa huzuni na zile zinazowauma saana mnazisave hadi siku mtakapopata kitu cha kujibu [emoji1787][emoji23][emoji1787] Mna kazi sana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bakuli limezibwa.Sijasoma uzi ila sio kwamba anaweza asifuzu, Yanga haendi popote..