Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi shabiki wa Simba ila hapa unafiki umewekwa pembeni.Hesabu yako IPO sawa.
Yanga Wana Timu nzuri mno.
Bado ni wageni kwenye Mashindano ya kimataifa.
Viongozi wao Bado wanajifunza.
Wapo shule.
Kwa kikosi walichonacho yanga wangekuwanacho Simba nahisi Simba ingefika Fainali.
Mapungufu makubwa sana ya Simba ni.
6,8,9. Hebu fikiria Hawa watu wangekuwa Simba.
Bangala.
Aucho.
Mayele.
Simba ingekuwa BINGWA wa CAF 2023.
Football mindHesabu yako IPO sawa.
Yanga Wana Timu nzuri mno.
Bado ni wageni kwenye Mashindano ya kimataifa.
Viongozi wao Bado wanajifunza.
Wapo shule.
Kwa kikosi walichonacho yanga wangekuwanacho Simba nahisi Simba ingefika Fainali.
Mapungufu makubwa sana ya Simba ni.
6,8,9. Hebu fikiria Hawa watu wangekuwa Simba.
Bangala.
Aucho.
Mayele.
Simba ingekuwa BINGWA wa CAF 2023.
Ndoto za mchana hiziYanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...
Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
Muwe mna weka akiba ya manenoUnashangaa wenzio kwa kutabiri matokeo halafu na wewe unasema "mi nipo hapa Tuone km Monastir atamfunga Yanga kwa mkapa". Kama unadai hao wenzio wana matatizo ya akili, sijui wewe u hali gani.
Sijaelewa umeniquote mimi kwa sababu gani. Kwani mimi nilisemaje?Muwe mna weka akiba ya maneno
Sijasoma uzi ila sio kwamba anaweza asifuzu, Yanga haendi popote..
Roho mbayaSijasoma uzi ila sio kwamba anaweza asifuzu, Yanga haendi popote..
Kvma nyokoYanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...
Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
Unasemaje?Yanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...
Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
Unavyopayuka sasa kama vile wew ndo kocha wa mazembeKama ulikaribia kuchukua point tatu ila kwa sababu ya u-underdog wako ukaruhusu bao la jioni,, Mazembe anakwenda kuchukua alama zote tatu, na kwa taarifa yako uwezo wa kumfunga Monastir huna,, mnapigwa bao zilezile mbili za set piece game inaisha,, na wakati huo huo Mazembe ana kusubiri kwa hamu tu
Habari yako dadaSijasoma uzi ila sio kwamba anaweza asifuzu, Yanga haendi popote..
We jamaa ni punga si bureYanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...
Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8 watakuja na maneno mengi ya kuwadanganya Ila kiufupi timu mbovu inashindia makosa binafsi ya makipa wa ligi.
Ongezea "zeze"We jamaa ni punga si bure