Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Sasa tofauti ya point moja ndio mnaona mpo vizuri halafu kundi lako lina timu zenyewe unazosumbuana nazo ni za chini kwenye rank ya CAF
Wewe ya kwako Rank ya caf ni ya ngapi? Au unavyoimbiwa uongo na Ally kamwe watatu watatu unadhani ujinga huo CAF wanao.Tofauti ya ASEC na YANGA ni ipi kwenye Rank ya CAF?na tofauti ya Simba na Beluizdad ni ipi kwenye Rank ya CAF?Tofauti ya mediama na Galax ni ipi kwenye Rank ya CAF?
 
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Hamjachelewa, ombeni CAF tubadilishane.
 
Huwa wanasababu nyingi sana. Wanambeza Simba aliyeishia robo fainal champion league wakati ndoto yao ni kuishia makundi champion league.
Wanafananisha champion league na shirikisho
Wamechezea vipigo mpaka wameanza kutafuta kundi la kuhamia
 
Back
Top Bottom