Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Wewe ya kwako Rank ya caf ni ya ngapi? Au unavyoimbiwa uongo na Ally kamwe watatu watatu unadhani ujinga huo CAF wanao.Tofauti ya ASEC na YANGA ni ipi kwenye Rank ya CAF?na tofauti ya Simba na Beluizdad ni ipi kwenye Rank ya CAF?Tofauti ya mediama na Galax ni ipi kwenye Rank ya CAF?Sasa tofauti ya point moja ndio mnaona mpo vizuri halafu kundi lako lina timu zenyewe unazosumbuana nazo ni za chini kwenye rank ya CAF