Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
aminia mzeePamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£π€£ deep unaijua?Wewe ni mtoto Mdogo, wenzako wapo deep wameshachungulia.
Tulieni nyie wazee wa lete mzungu...kiko wapiKaka yangu naona unawapa moyo ila vizuri
πππππππππ I'm Watching YouKwani ile miaka 30 ambayo walikua hoi hawakua na rangi ya kijani?
Kivumbi leoYanga msimu huu hajawahi fungwa game mbili mfululizo
[emoji23] wewe tutaongea vizuri baada ya mechi sasa hivi bado akili zenu hazijatuliaTulieni nyie wazee wa lete mzungu...kiko wapi
π€£π€£π€£π€£ Mie nataka yanga ashinde tuenjoy na mishangazi[emoji23] wewe tutaongea vizuri baada ya mechi sasa hivi bado akili zenu hazijatulia
Lazima utake ishinde si team yako bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mie nataka yanga ashinde tuenjoy na mishangazi