Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #101
Tuupe muda wakatiWanastawi kwenye mvua na wakati wanapigwa kwenye mvua?[emoji1]
Halafu unasema nyekundu ndo kiboko ya kijani, hujui kuwa USM Alger ni wekundu?
Una imply kwamba walifungwa na Simba kwasababu ya kafara ya damu?
Kwenye kuishangaza dunia siyo kweli. Sasa hivi kuna kombe la dunia U-20 kule Nigeria hatua za robo fainali. Nigeria wako robo fainali. Kombe la shirikisho hilo labda kuishangaza Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app