Yanga ataishangaza dunia

Yanga ataishangaza dunia

Wanastawi kwenye mvua na wakati wanapigwa kwenye mvua?[emoji1]

Halafu unasema nyekundu ndo kiboko ya kijani, hujui kuwa USM Alger ni wekundu?

Una imply kwamba walifungwa na Simba kwasababu ya kafara ya damu?

Kwenye kuishangaza dunia siyo kweli. Sasa hivi kuna kombe la dunia U-20 kule Nigeria hatua za robo fainali. Nigeria wako robo fainali. Kombe la shirikisho hilo labda kuishangaza Africa.
Tuupe muda wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini

Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!

Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao

Mark my words!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeee !!
 
Unaota wswe
 
Hapa hakuna cha kilinge wala kilingeni, muhimu nilishawaambia waandae leso za kutosha kujifutia machozi.
 
Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini

Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!

Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao

Mark my words!

Sent using Jamii Forums mobile app
Utabiri wako umetimia kiusahihi bila kujari Yanga haijachukuwa kombe lakini Yanga ndio iliyoshinda mechi.
 
Unafiq kitu kibaya sheikh. Unajikomba sana inakusaidia nini? Mwenyewe amekwambia ataondoka na kombe. Na hatujaondoka na kombe. Nyie mikia sijui mna nini... Achaneni na Yanga. Mambumbumbu nyie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

KIJANI NA MAJI NI NINI NA NINI VILE [mention]Mshana Jr [/mention]
 
Back
Top Bottom