Yanga ataishangaza dunia

Mshana kweli? Nahsi mafuta kwa mgongo wa chupa, kwa mashabiki wa utopolo.
 
Tunasubiri kaka🤣🤣🤣🤣🤣
 
inshallah
 
Wanastawi kwenye mvua na wakati wanapigwa kwenye mvua?😄

Halafu unasema nyekundu ndo kiboko ya kijani, hujui kuwa USM Alger ni wekundu?

Una imply kwamba walifungwa na Simba kwasababu ya kafara ya damu?

Kwenye kuishangaza dunia siyo kweli. Sasa hivi kuna kombe la dunia U-20 kule Nigeria hatua za robo fainali. Nigeria wako robo fainali. Kombe la shirikisho hilo labda kuishangaza Africa.
 
Kila lakheri chama langu la Yanga!Leteni kombe ili mnyama aone wivu!
 
Uchawi hauna nafasi kwenye mbungi. Kipondo kiko palepale.
 
Dunia where .. dunia which?

uto ni uto atakufurahisha kwa dakika 1 then anakufanya ulie kwa mda usiojulikana
 
Hata mimi naamini mtani leo anatufunga mdomo. Mtani all the best. Lete kombe hilo. Piga uyo mwarabu.
 
Ni kweli yanga ataishangaza Dunia kwa kufungwa nje ndani na timu ambayo haijawai kushinda ugenini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…