Yanga ataishangaza dunia

Kwa hiyo walifanya. [emoji55]
 
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao

Mark my words!


Sent using Jamii Forums mobile app
Cha msingi sisi tumeshinda mechi, tumemkanda Mwarabu kwao aggregate ni 2-2.

Hizo kanuni za kuzawadiana ubingwa wanazijuwa wao.

Nasisitiza utabiri wako umetimia kwa usahihi kabisa tena kwao.

Wasio na jicho la kiroho walitabiri Yanga kufungwa magoli mengi kwao
 
Hongera Kwa kuchukua kombe la kumkanda mwarabu kwao
 
Hongera Kwa kuchukua kombe la kumkanda mwarabu kwao
Kombe lingine Mayele kuwa mfungaji bora kiatu cha dhahabu na Diara Man of the match.

Mtaishi na makasiriko sana safari hii, hamieni Azzam naye tunakuja kumkanda vile vile.
 

Attachments

  • FB_IMG_1685829131664.jpg
    45.6 KB · Views: 1
[emoji2][emoji1][emoji2] tunapoyaona ya kiroho tusiwe wabanifu kuyaweka bayana! Bila kujali matamanio yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana hii post imekuheshimisha kuliko wapumbavu wachache wa Simba wanavyolazimisha iaminike.

Uliyoyaona kiroho ndio yaliyotokea, hata penati Waarabu haikuwassidia kupata goli.

Ukitaka kujuwa roho zetu sasa hatupo kwenye ushabiki Bali ni wachawi tu, hata hili mtu roho inamuuma kuonekana Mshana hii mechi aliiona kwa jicho la kiroho huku wale wapumbavu wachache wakijiaminisha Yanga itapigwa hamsa. Sasa roho zinawauma, Yanga kamkanda Mwarabu Nyumbani kwake.

Waarabu wenyewe hawana furaha kamili na ubingwa wa style hii.
 
Shida siyo maandishi.

Shida ni wanapotokea watu wanaoamini hayo maandishi
 
hata hili mtu roho inamuuma kuonekana Mshana hii mechi aliiona kwa jicho la kiroho[emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kombe lingine Mayele kuwa mfungaji bora kiatu cha dhahabu na Diara Man of the match.

Mtaishi na makasiriko sana safari hii, hamieni Azzam naye tunakuja kumkanda vile vile.
Relax uto kombe wamechukua wanaojua baada ya kuwakanda kwenu.
 
Relax uto kombe wamechukua wanaojua baada ya kuwakanda kwenu.
Hakuna shabiki duniani anayeweza kusikia raha kufungwa kwenye mchezo ambao baadaye unampa kombe.

Nadhani unakumbuka hata Magufuli uwanja wa Taifa aliwaambia nini siku mnapewa kombe la ubingwa halafu hiyo mechi mkakandwa na Kagera sugar mbele ya Magufuli.

Endelea kujizima data, maana ubongo wako memory ni ni KB 10 tu.
 
Hakuna cha kuona kiroho wala nini ..huo ni utabiri kama utabiri Tu, ni kama kubet Tu.. Ukitaka kujua ni ni utabiri Tu angalia mada zingine za kiroho hata nusu tu hayajatimia.
 
Kuna timu inaitwa Norwich hua tunaiita Yanga ya ulaya kwakua jezi zao ni njano na kijani kama Yanga

Inachezea Uingereza.

Ambako mvua ipo mara nyingi.

Na si wana rangi ya kijani? Na kuna mvua?

Kaangalie maisha yao kwenye ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…