Mshana hii post imekuheshimisha kuliko wapumbavu wachache wa Simba wanavyolazimisha iaminike.
Uliyoyaona kiroho ndio yaliyotokea, hata penati Waarabu haikuwassidia kupata goli.
Ukitaka kujuwa roho zetu sasa hatupo kwenye ushabiki Bali ni wachawi tu, hata hili mtu roho inamuuma kuonekana Mshana hii mechi aliiona kwa jicho la kiroho huku wale wapumbavu wachache wakijiaminisha Yanga itapigwa hamsa. Sasa roho zinawauma, Yanga kamkanda Mwarabu Nyumbani kwake.
Waarabu wenyewe hawana furaha kamili na ubingwa wa style hii.