Yanga ataishangaza dunia

Kuna timu inaitwa Norwich hua tunaiita Yanga ya ulaya kwakua jezi zao ni njano na kijani kama Yanga

Inachezea Uingereza.

Ambako mvua ipo mara nyingi.

Na si wana rangi ya kijani? Na kuna mvua?

Kaangalie maisha yao kwenye ligi.
Mambo ya kiroho hayana formula moja! Kuna vingi nyuma yake hutengeneza kitu ndio kikamilike ama kisikamilike! Kiwe ama kisiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha wallipata Kwa Mkapa..hivyo Wana Raha na kombe. Uto mna kombe la Mwamnyeto kumkaba Benzaza
 
Hutaweza kuitetea hapa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kuna ile mada nyingine ya updates za jana niliandika hivi[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Kwa nia njema kabisa unaweza kuitakia Yanga ushindi kwakuwa ni timu ya nyumbani lakini msemaji wao na sehemu kubwa ya mashabiki wamejawa na ujinga mwingi sana!
Anyway nawaombea ushindi.. Akishinda Yanga imeshinda Tanzania


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna timu inaitwa Norwich hua tunaiita Yanga ya ulaya kwakua jezi zao ni njano na kijani kama Yanga

Inachezea Uingereza.

Ambako mvua ipo mara nyingi.

Na si wana rangi ya kijani? Na kuna mvua?

Kaangalie maisha yao kwenye ligi.
Utaambiwa ni mambo mtambuka.
 
-Klabu ya USM Alger ya Algeria kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo imetwaa ubingwa wa kombe shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) baada ya kufungwa kwa goli moja kwa bila (1-0) na Yanga SC ya Tanzania na kufaidika na goli la ugenini baada ya matokeo ya jumla kuwa 2-2.

-Katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliochezwa jijini Dar kwenye dimba la Benjamini Mkapa, USM Alger ilishinda kwa magoli mawili kwa moja (2-1). USM Alger imepata kombe na jumla ya fedha bilioni 4.7 huku Yanga SC ikiwa mshindi wa pili imepata jumla ya fedha bilioni 2.3.

FT: USM Alger 0- 1 Yanga ( Aggr: 2-2)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha majungu ya kusmea " hizo kanuni za kuzawadiana ubingwa" kwani kipindi at group stage ulikuwa hujui kuanzia knock out stage kuna away goal advantage???
 
ILA KIMYA KINA FAIDA KUBWA SANA.


NISISITIZE TUJIFUNZE KUWEKA AKIBA YA MANENO.
 
Kweli wameshangaza,yaani wameshinda mechi ila ubingwa sio wao
 
Wakati anaandika hili bandiko alikua kalewa Nyagi huyu babuu sio buree.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni Yanga damu! Ila kwenye hii mechi Waarabu nawapa 80% ya ushindi, na Yanga nawapa 20% pekee.

Kukosekana kwa Aucho pale kati, kumevuruga kabisa timu yetu. Huu ni ukweli mchungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…