Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #141
Mambo ya kiroho hayana formula moja! Kuna vingi nyuma yake hutengeneza kitu ndio kikamilike ama kisikamilike! Kiwe ama kisiweKuna timu inaitwa Norwich hua tunaiita Yanga ya ulaya kwakua jezi zao ni njano na kijani kama Yanga
Inachezea Uingereza.
Ambako mvua ipo mara nyingi.
Na si wana rangi ya kijani? Na kuna mvua?
Kaangalie maisha yao kwenye ligi.
Sent using Jamii Forums mobile app